Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

Hauna akili wewe imagine angekuwa ndugu yako kasafirishwa kama huyo marehemu ungeandika huu upupu?
 
Kuna Yule DC Wa Tarime Akiwa Na Waziri Wa Maji Alikuwa Anamwambia Watumishi Kama Hawa Unafyatua Tu
Naona Waziri Wa TAMISEMI Amefyatua
 
Jifunze kuandika bila ku disrespect members wengine, Nyau wewe!
Mtu mpumbavu kama wewe hustahili heshima.
Kama unaona marehemu kusafirishwa hovyohovyo ni sahihi kwako unahitaji heshima gani mpuuzi wewe hunijui sikujui.
Huko kanisani huwa mnaenda kufanya nn kama hamuonyeshi utu, ubinadamu na uungwaana mnakariri tu biblia kama riwaya?
Unadhani mm n mweupe sijui taratibu katika halmashauri zinavyofanyika?
Na nitanyoka na wewe mpaka dakika ya mwisho,nina uchungu huyo marehemu ni ndugu yangu.
Michango ya watu wajinga kama nyie ndo inafanya CHADEMA idharaulike.
 
Kwani shida iko wapi?mbona kwenye ndege wanaweka kwenye buti na spare tyre .
Huo ni mzigo kama mizigo mingine mbona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishakufa hauna thamani tena ndiyo maana hata kwenye ndege unatupiwa sehemu ya mizigo huenda mkurugenzi aliapply namna hiyo akaamua awekwe kwenye carrier maana ni mzigo huo

Dah kuna wakati niliwahi kufanya kazi Iringa vijijini. Sasa ulitokea msiba kijiji cha jirani. Aisee marehemu alisafirishwa kwa baisikeli. Aliviringishwa kwenye mkeka akafungwa na kamba akawekwa kwenye siti ya nyuma ya baisikeli lakini alilazwa kwa urefu.
Tupendane jamani haya maisha yakishaisha hapa duniani tunakua hatuna thamani tena [emoji36][emoji24][emoji22]
 
Duuuu! Kaimu mkurugenzi katisha, nataka kujua hakuna watu waliomshauri kuwa kufanya hivyo sio uungwana
Nadhani ni ile nidhamu ya uonga ambayo inawasumbua wateule wengi wa rais, yaani wana ka ujinga fulani ka kumtafasiri vibaya Dkt Magufuli na hawamuelewi, yaani aliposema wabane au kupunguza matumizi hajamaanisha kunyanyasa wafanyakazi kwa njia aina yeyote, naamini very soon Dkt Magufuli atatumbua watendaji wengi
 
 
Very bad!

Mitandao pia inasaidia kukemea yanayoendelea huko Chato na hivi karibuni mnaweza kuona serikali ikitoa tamko rasimi kujibu tuhuma zilizoko mitandaoni kuhusiana na miradi ya Chato.
Kwani Serikali anafanyia kazi kwenye mitandao?
 
Duuh hii.kwel.hapana ,kama raia tu mtaan huwaga wanajichanga na kukodi coaster ya kusafairisha maiti ,sembuse na serikal?huu sio uungwana .ilaaa tuishi vizur jmn maiaha yetu si marefu hapa dunian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…