Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

Mbona wengine wanasafirisha na pikipiki?? Hii Ina highlights tuna shida ya kuwa na magari ya kusafirisha wagonjwa na miili ya waliokufa, huyo aliesimamishwa katolewa kafara tuu, tuna tatizo la kimfumo, ila waziri Jafo hakuona hili ? Karukia kumfukuza kazi ... ombea tusiwe na viongozi wenye ego, wanaotaka kufanya waonekane wanafanya kazi! It is sick to watch [emoji57][emoji848]
gari ipo,alitakiwa awekwe ndani hapo mlango wa nyuma uende wazi,kwani mbona maiti nyingi zinasafirishwa kwa mtindo huo!!!

mambo mengine tunatetea akili mgando za watu.
 
Yamesha tendeka. Marehemu kisha zikwa.Kwa nini kuendeleza maumivu kwa walio hai? Barua ya onyo ingetosha. Kama fedha zingelikuwa nje nje ka zamani sidhani kama huu uzembe ungelitokea.

Angelifanya zaidi ya hapo, angeambiwa;"Kapiga dili"na kazi hana. Kitumbua cha leo, mtu hula kinachoonekana mbele yake. Hajali ni cha moto au ni kibichi, tumbo litaamua.

Hapo tumbo limehamua kumharisha mtu. Nidhamu za woga
Lengo la adhabu huwa ni kuwaonya wengine wasirudie.

Marehemu bado anayoheshima yake
 
Yamesha tendeka. Marehemu kisha zikwa.Kwa nini kuendeleza maumivu kwa walio hai? Barua ya onyo ingetosha. Kama fedha zingelikuwa nje nje ka zamani sidhani kama huu uzembe ungelitokea.

Angelifanya zaidi ya hapo, angeambiwa;"Kapiga dili"na kazi hana. Kitumbua cha leo, mtu hula kinachoonekana mbele yake. Hajali ni cha moto au ni kibichi, tumbo litaamua.

Hapo tumbo limehamua kumharisha mtu. Nidhamu za woga
Watu wengine mna UJINGA wa kuzaliwa nao?Au unamtetea ndugu yako aliesimamishwa kazi?Usitake dunia yote ione ujinga wako.
 
Nikosa Ila huyu waziri Kuna Mambo ya muhimu zaidi hatolei kauli.
 
Lakini pia tujiulize hilo jeneza linatosha ndani?

Ni magari mangapi yalitolewa kwenda?
 
Kwani shida iko wapi?mbona kwenye ndege wanaweka kwenye buti na spare tyre .
Huo ni mzigo kama mizigo mingine mbona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa kwenye ndege wanaweka kwenye mizigo lakini kuna sababu nzuri ya kufanya hivyo na si vinginevyo. Huku kwenye magari tunatakiwa kuonyesha utu japo kidogo basi.
 
Hivi kosa hapo nini?maana mbona mwili umewekwa kwenye sanduku

Ova
 
Asilaumiwe anaigiliza "ukatili" wa mabosi wake hasa Jiwe.
 
Kaimu Mkurugenzi kaonewa. Yeye alitoa usafiri kama taratibu za Utumishi zinavyotaka, hakuelekeza marehemu abebwe juu ya carrier.

Inawezekana watumishi wenzake ndo waliosababisha. Walitaka wakae ndani ya gari ili wamsindikize marehemu kwao.

Hao waliobeba mwili na kuuoandisha huko ndo watuambie nani aliwaamuru na kwanini.

Muhimu tujifunze tu, maisha yana thamani ukiwa hai, ukifariki huwezi kuchagua treatment ya mwili wako. Tumtafute tu Mungu, huko mbeleni inawezekana hata ukifa wakapiga tu kiberiti mchezo ukaisha bila kufikishwa kwenu.
 
Ni sawa kwenye ndege wanaweka kwenye mizigo lakini kuna sababu nzuri ya kufanya hivyo na si vinginevyo. Huku kwenye magari tunatakiwa kuonyesha utu japo kidogo basi.

Inawezekana Kaimu Mkurugenzi alilazimika kumsafirisha marehemu namna hiyo kutokana na ufinyu wa bajeti.

Labda idara husika haina magari ya kutosha kusafirisha wanafamilia pamoja na mwili wa marehemu.

Ni kweli sote tungependa mwili wa marehemu usafirishwe kwa heshima zaidi ya ilivyofanyika.
 
Back
Top Bottom