Mwili si umepigwa dawa lakini!Mkuu kuna kitu ujakijua hapo,huyo ni mtumishi wa halmashauri hivyo usikute safari inaanzia mara mzigo unapelekwa mtwara au ruvuma hiyo.
Ukitia kwenye kirikuu si mtafika mzigo umepukutika wote kwenye sanduku.
Kama ambavyo watanzania masikini wanafanyiwa na serikali ya ccm kupitia BODI YA MIKOPO kuongeza deni pasipo haki kabisa na kupandisha makato.Very bad!
Mitandao pia inasaidia kukemea yanayoendelea huko Chato na hivi karibuni mnaweza kuona serikali ikitoa tamko rasimi kujibu tuhuma zilizoko mitandaoni kuhusiana na miradi ya Chato.
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasindikizaji hasa familia, gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?Kwani shida iko wapi?mbona kwenye ndege wanaweka kwenye buti na spare tyre .
Huo ni mzigo kama mizigo mingine mbona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayo haki ya kuchagua upumzishwe vipi na wapi, ila tu uwe umejiandalia uwezo na nafasi ya kufanya hivyo (wosia/usia, fedha, ndugu, jamaa na marafiki with whom you share perception on Life and all that’s involved!)Kaimu Mkurugenzi kaonewa. Yeye alitoa usafiri kama taratibu za Utumishi zinavyotaka, hakuelekeza marehemu abebwe juu ya carrier.
Inawezekana watumishi wenzake ndo waliosababisha. Walitaka wakae ndani ya gari ili wamsindikize marehemu kwao.
Hao waliobeba mwili na kuuoandisha huko ndo watuambie nani aliwaamuru na kwanini.
Muhimu tujifunze tu, maisha yana thamani ukiwa hai, ukifariki huwezi kuchagua treatment ya mwili wako. Tumtafute tu Mungu, huko mbeleni inawezekana hata ukifa wakapiga tu kiberiti mchezo ukaisha bila kufikishwa kwenu.
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasindikizaji hasa familia, gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?Mkuu kuna kitu ujakijua hapo,huyo ni mtumishi wa halmashauri hivyo usikute safari inaanzia mara mzigo unapelekwa mtwara au ruvuma hiyo.
Ukitia kwenye kirikuu si mtafika mzigo umepukutika wote kwenye sanduku.
Kiukweli hapo gari ilikuwa haitoshi kwa sababu hapo lazima watoke wasindikizaji kutoka halmashauri kwa maana kiongozi wa msafara kwa niaba ya mkurugenzi na ndugu au familia ya marehemu.Mwili si umepigwa dawa lakini!
Sema hapo inawezekana gari ilikuwa haitoshi labda ndomana wakamuweka juu !
Ova
Mwili si umepigwa dawa lakini!
Sema hapo inawezekana gari ilikuwa haitoshi labda ndomana wakamuweka juu !
Ova
..unaweza kukuta gari ni moja, tena dogo.
..halafu wanatakiwa wasafirishe mwili, familia, na vyakula vya kupeleka kwenye msiba.
..sidhani kama mkurugenzi alikuwa na nia mbaya.
Vyakula na mizigo mingine kama mavazi and the likes , mahali sahihi ni hapo walipoweka casket yenye mwili wa marehemu.
Wengine wangepanda basi za bei nafuu ili mradi kumsitiri mpaka mwisho marehemu na mwili wake.
Hata Kama inaonekana ni utaratibu uliozoeleka huko kwenye halmashauri lakini ni kinyume na kanuni za utumishi. Ni bahati mbaya tu hayo mazoea yameendelea kwa sababu watu hawajui taratibu, hivyo wakurugenzi wamekuwa wakitake advantage kwa ignorance ya watu.Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasindikizaji hasa familia, gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?
Kumbuka watu wanatumbuliwa kwa mambo kama haya umeongeza budget kwa idhini ya nani labda umekula cha juu wakurugenzi wana taabu sana awamu hii wa nyang'hwale leo mwaka wa tatu na DT wakeHata Kama inaonekana ni utaratibu uliozoeleka huko kwenye halmashauri lakini ni kinyume na kanuni za utumishi. Ni bahati mbaya tu hayo mazoea yameendelea kwa sababu watu hawajui taratibu, hivyo wakurugenzi wamekuwa wakitake advantage kwa ignorance ya watu.
Hata Kama hakuna magari haiwezekani halmashauri ishindwe kukodi coaster itakayo accommodate mwili pamoja na wasindikizaji. Mtu amefariki ni lazima mwili wake upewe heshima hasa mkikumbuka namna mlivyoweza kuishi nae alipokuwa hai.
Imagine familia ya marehemu inasubiri mwili kwa ajili ya mazishi then gari linakuja likiwa na mwili kwenye carrier, hao ndugu zake watajisikia machungu kiasi gani.
Unaonaje watu wanne kati ya wale saba wakae juu kwenye carrier na maiti iwekwe ndaniHuo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasimdikiazaji hasa familia gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?
Wewe huyu huyu, ukiwa nyuma ya keyboard 24 hrs!Hata ningekuwa Mimi ningemsimisha kazi
Mh. Waziri amemstahi sana huyu mtu. Alikuwa na uhalali wa kumfukuza kabisa kazi hata kabla maiti hajijawasili kule ilikokuwa inapelekwa. Maiti ni kitu chenye heshima kubwa mno, na ndiyo maana huwa inapigiwa saluti na wanajeshi wa ngazi zote jeshiniWaziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi
Yassini anatuhumiwa kusafirisha mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Emmanuel Joseph Sizo juu ya Carrier ya gari, kama ambavyo baadhi ya picha za mtandaoni zilizosambaa zilionesha
Emmanuel alifariki Januari 10 kwa ajali ya gari Mkoani Singida, taarifa imesema kitendo cha kusafirisha maiti kwa utaratibu huo ni kinyume na kanuni Q.7(1) ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma.
Pia soma > Mkurugenzi wa Tarime mjini apata ajali Manyoni Singida