Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

Kwa hiyo tutakuwa wageni wa Magufuli! Mabasi yataandikwa from Dr Magufuli to Nanjilinji!
 
Hiyo imeshapita hakuna anayepinga.
 
Badirini na jina la Tanzania liwe jamhuri ya muungano wa Dr John Joseph pombe magufuli
Kumpa shukrani na heshima
 
Historia inaonyesha majina ya stendi huakisi majina na mji/mkoa stand ilipo. Kufanikisha hoja ya Mh Waziri Japo mkoa au wilaya ilipo stand ubadilishwe jina
Pale Mpanda kuna mizengo pinda bus stand
 
Huyu muimba kaswida za kumsifu mtu mbona hasemi daraja la kwenda kwao mkuranga lipewe Jina la Magufuli?
 

Attachments

  • IMG_20210125_164112.jpg
    81.2 KB · Views: 1
Kwani ikiitwa Chato stadi kuna ubaya gani wajameni
 
Upumbavu mtupu kuna watu wameipigania nchi hii kwa nguvu vita ya Uganda ht hawatambuliki
 
Kwani ni kanuni kila kitu kupewa majina ya Wanasiasa?

Kuna Madaktari, ma Sheikh, ma Padri na hata Wahandisi walioweka heshma kwny fani zao


Inaweza kuitwa Mzizima Bus Terminal kuenzi jina la Asili la Mkoa wetu
Huu mradi initiator ni Kikwete why asipewe heshima hiyo
Au tumpe waziri Gwajima coz ametufanyia makubwa secta ya afya
 
Kuna Mbwa aliitwa Immgration akauawa kwa amri ya Mahakama…ilileta mshike mshike
Hivi kwa mapenzi ya dhati na Rais wangu naruhusiwa kumwita paka wangu jina la Rais wangu?
Msaada wa kisheria please.
 
Rais mtukufu from Chatooooooò😆😆😆😆😆 piga kelele kwa magu yakeeeeeeeeeee
 
Hapan mm naon ingepewa hadh ya mwl nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…