Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

Kajamaa kanauota urais 2025; ni wakati wa kulamba miguu kwa nguvu zote.
 
Sawa sisi tunasuburia ianze kutumika ndo shauku yetu
 
Fly over ya tazara waliipa jina la mfugale Ila Hadi leo ram zimegoma kustore tumebakia kuuita na fly ova ya tazara......inabidi wajifunze kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…