Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni wagombea binafsi sio?Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
yes imetumika demokrasia kuwaita watendaji Ikulu na kuwaagiza waharibu form za wagombea wa upinzani.Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Anagombea kwa kupitia chama fulani. Ndo maana hata kuna zile fomu zilizokosewa majina ya chama according to wahusika zilikua disregarded. Huyo mgombea akiambiwa leo sio mwanachama means hawezi kuendelea kuwa mgombea wa kile chama kwenye chaguzi.so yes chama kikijitoa automatic mgombea lazma atoke. Ridhaa ya chama.....!!!!Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Kuna taratibu rasmi za kujitoa.
Umekosa akili. Kuna mtu anaruhusiwa kugombea bila kupitia kwenye chama? Na hao walioenguliwa si tumeambiwa ni kwa sababu wamejaza CHADEMA na ACT? Kama vyama havina nafasi si wangewapitisha tu kama wagomvea huru? Kwa nini wanasema wamewaondoa kwa kukosea kujaza majina ya vyama vyao?Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Akili matopeAnatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Unaelewa maana ya tamko la chama kushiriki uchaguzi au kutoshiriki? Kabla ya processes za wagombea, chama kinachoshiriki uchaguzi ni lazima kitamke. Kama chama kina uwezo wa kutamka kuwa kitashiriki, kwa nini kisiwe na uwezo wa kutamka kuwa kimejitoa au hakitashiriki?Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
Swala la kujitoa ni mgombea,lakini wakati wa kuchukua form chama ni mdhamini?Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Sio lazima Kutamka vyama kibao havikutoa matamko ya kushiriki lakini fomu vilichukua Sheria ya uchaguzi haitamki.popote kusema lazima Chama kitamke kwanza kuwa kitashiriki au la ili wagombea wake wapewe fomuUnaelewa maana ya tamko la chama kushiriki uchaguzi au kutoshiriki? Kabla ya processes za wagombea, chama kinachoshiriki uchaguzi ni lazima kitamke. Kama chama kina uwezo wa kutamka kuwa kitashiriki, kwa nini kisiwe na uwezo wa kutamka kuwa kimejitoa au hakitashiriki?
Nyumbu mmoja kajifungua mtoto ambaye anaitwa "STETI AJENTI"😂😂😁😁😃😃Hayawahusu wale ñyumbu walikimbilia masai Mara
State agent
Kudhamini ni issue binafsi Kama Chama kinajitoa udhamini kilitakiwa kiwaambie wagombea wake na wao ndio waseme tunajitoa sababu mdhamini wetu kajitoa tunaomba msimamizi Kama una fomu ya mdhamini kujitoa nipe nimpelekee akajaze alete kwa maandishi.HIV unaelewa maana ya kudhaminiwa?au unakata viuno tu hapo?
Kudhamini ni issue binafsi Kama Chama kinajitoa udhamini kilitakiwa kiwaambie wagombea wake na wao ndio waseme tunajitoa sababu mdhamini wetu kajitoa tunaomba msimamizi Kama una fomu ya mdhamini kujitoa nipe nimpelekee akajaze alete kwa maandishi.
Fomu za kudhamini wagombea vyama viliza kujitoa pia vijaze fomu vipeleke kutengua fomu zao za mwanzo.othetwise huko.kujitoa kwenye press ni matangazo tu ya vijiweni ambayo sio official.Jafo Yuko sahihi wote waliopitishwa watapigiwa kura