Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau
Naamini Mnaona Vizuri.
Tunatekeleza
Naamini Mnaona Vizuri.
Tunatekeleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utaratibu wa kichama tuu ni kama nyie CCM mnavowalazimisha wagombea mnaowataka wapitishwe kugombania. Mwanachama ambae hatakua radhi kufuata maelekezo ya chama hatufai.Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Hamtaki makao makuu.Wagombea waliopitishwa wanatakaSasa mbona tunalazimishana kwanguvu na tumeshasema hatutaki? Ngoja tuone
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Naona kama hiyo mbinu imefeliMzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.
Ilani ya CCM inasema mwanafunzi wa kike akipata mimba akijifungua arudi shule
Jiwe anasema yeye hawezi kusomesha wazazi
Wewe unasimama upande wa chama au wa jiwe?
Huu uchaguzi anatafutwa atakayewafaa wananchi wote sio wanachadema tu!!! Kama hawafai nyie wengine wanamtakaMwanachama ambae hatakua radhi kufuata maelekezo ya chama hatufai.
Wewe kichwani uko fit.Mzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.
MimiNani atapiga kura?
KITAKACHOTOKEA HAPO UTASIKIA RUFAA KARIBIA ZOTE ZIMEKUBALIWA. where are we going?...................................... kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
KWA STAILY HII MNATEGEMEA MALENGO YA CCM (Magufuri) hapo 2025, ya uchumi wa kati yatafikiwa?!Wewe kichwani uko fit.
Hata ukifutwa mchakato, uanze upya haitasaidia kitu, kwani wao walishazoea hivyo, unadhania ni kwanini hawataki, wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa chaguzi?? Bila tume huru ya uchaguzi itakuwa, maajabu utegemee matokeo tofauti wakati njia unayotumia ni ile ile!!!Uchaguzi umeshavurugwa bora ufutwe tu mchakato uanze upya!!
Ha ha ha😀😀😀😀😀Mzaramo J
Alichofanya ni kanuni moja ya kiintelejensia ambayo unamchanganya mtu katika kanuni, halafu akichanganyikiwa unamrudisha kwa kanuni hiyo hiyo lakini akiwa ameshapoteza ''morali''.
Amejivua lawama.
Kwani wagombea binafsi wameruhusiwa? Mbona mbunge akivuliwa uanachama automatic na ubunge anaachia. Rejea wabunge wa lipumbaAnatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Huo ulikuwa uchaguzi wa. Ndani ya Chama Cha mapinduzi usichanganye masomoBashiru Ally alivyotangaza matokeo ya kura za maoni CCM kwa dar yamefutwa.
Jafo aliingilia kusema wamechaguliwa kihalali?
HESHIMUNI KAMATI KUU YA CHAMA
Zitto Kabwe alishindikana Chadema au hujui Hilo.Kwani wagombea binafsi wameruhusiwa? Mbona mbunge akivuliwa uanachama automatic na ubunge anaachia. Rejea wabunge wa lipumba
Kwanini anahanya?MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
mla vya kunyonga hawezi kula vya kuchinjaMtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?