Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Umekosa akili. Kuna mtu anaruhusiwa kugombea bila kupitia kwenye chama? Na hao walioenguliwa si tumeambiwa ni kwa sababu wamejaza CHADEMA na ACT? Kama vyama havina nafasi si wangewapitisha tu kama wagomvea huru? Kwa nini wanasema wamewaondoa kwa kukosea kujaza majina ya vyama vyao?

Tafadhali sana msichoke kuwafundisha siasa sehemu yoyote mukiona mtu haelewi haraka muelewesheni kwa uwezo wa mungu wataelewa tu
 
Huna unachokijua kaa kimya, huyo mgombea amedhaminiwa na kitu gani kama sio chama?
Jafo Yuko sahihi.

Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
 
Kiukweli Chadema ni kichaka cha wakora,yaani kakikundi ka kina Mbowe na washirika wao wachache wanawatesa wanachadema nchi nzima ,aibu kubwa sana kwa wanachama wote
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee

Mbowe ametumia ubabe
 
Sio lazima Kutamka vyama kibao havikutoa matamko ya kushiriki lakini fomu vilichukua Sheria ya uchaguzi haitamki.popote kusema lazima Chama kitamke kwanza kuwa kitashiriki au la ili wagombea wake wapewe fomu

Hujamuelewa kutamka kwa chama ni kukubali udhamini si kwa kauli
 
Huna unachokijua kaa kimya, huyo mgombea amedhaminiwa na kitu gani kama sio chama?
Chama kijaze fomu ya kutengua udhamini Kama kilivyojaza fomu ya kudhamini.Hadi Sasa havijajaza fomu za kutengua udhamini na kuwapa wagombea wao wawape wasimamizi wa uchaguzi.Huwezi tengua udhamini kwa kubwata tu kwenye press!!
Kisheria udhamini wa wagombea haujayenguliwa na vyama vyao.vinavyojitia havishiriki uchaguzi
 
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Hiyo sio fiesta kuna taratibu zake kujitoa
Kila siku mnafanya makosa Yale Yale,hakuna uchaguzi rahisi Africa
 
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Anasemea wapi? Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi au barabarani kwenye kituo Cha basi alikoitishia press conference?
 
Chama kijaze fomu ya utengua udhamini Kama kilivyojaza fomu ya kudhamini.Hadi Sasa havijajaza fomu za kutengua udhamini na kuwapa wagombea wao wawape wasimamizi wa uchaguzi.Huwezi tengua udhamini kwa kubwata tu kwenye press!!
Kisheria udhamini wa wagombea haujayenguliwa na vyama vyao.vinavyojitia havishiriki uchaguzi
Hilo wanalijua vema,ila tu kwa kua wamepanga kufanya sarakasi za kisiasa,wanachukua haki za wagombea wao ambao kuna maeneo wana uhakika wa kupita
Ukitaka kujua kwamba chadema hawapo serious na ni wasanii,angalia yaliofanyika kabla na baada ya uchaguzi wa 2015
 
Kudhamini ni issue binafsi Kama Chama kinajitoa udhamini kilitakiwa kiwaambie wagombea wake na wao ndio waseme tunajitoa sababu mdhamini wetu kajitoa tunaomba msimamizi Kama una fomu ya mdhamini kujitoa nipe nimpelekee akajaze alete kwa maandishi.

Fomu za kudhamini wagombea vyama vilijaza kujitoa pia vijaze fomu vipeleke kutengua fomu zao za mwanzo.othetwise huko.kujitoa kwenye press ni matangazo tu ya vijiweni ambayo sio official.Jafo Yuko sahihi wote waliopitishwa watapigiwa kura

Hivi ukinyanganywa kadi yako ya ccm utaomba form ya kujitoa? Na ni kweli tume inazo form za kujitoa? Kama inazo kwa nini isiwaite wote waliojitoa wakajaze form?
 
Basi CDM waandike barua za kujitoa unless otherwise itakuwa Ni udaku Kama ubuyu mwingine wowote, huwezi amini kujitoa kwa mgombea wa CDM huku masebe lugoje kwa kauli ya Bwana furani dar es salaaaama runingani
Chadema hakuna wanasheria huwezi Tama tamko uchochoroni halafu eti msimamizi wa uchaguzi alifanyie kazi awatoe wagombea wote wa Chadema waliopitishwa kwa kauki ya kijiweni ya Mbowe au Zitto Kabwe


Jafo Ana akili nyingi Yuko sahihi ni.mtetezi dhabiti wa wote waliopitishwa wapate haki yao
 
Kwamba baadhi ya Maeneo kuna Makosa kwenye Form yanayofanana....
Imenikumbusha kuna copy moja ya form ililetwa hapa inaonyesha kuongezwa O kwenye Majina na baadhi ya sehemu!!!
Kufanana huko inaonyesha idea Ilikua moja.
 
Kiukweli Chadema ni kichaka cha wakora,yaani kakikundi ka kina Mbowe na washirika wao wachache wanawatesa wanachadema nchi nzima ,aibu kubwa sana kwa wanachama wote
Ndo Demokrasia hiyo sasa
 
Ae
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
Wacha apige Tu punyeto ya kisiasa
 
Sasa mbona tunalazimishana kwanguvu na tumeshasema hatutaki? Ngoja tuone
 
Composition ya kamati ya rufaa inaruhusu kamati hiyo kuwa biased.

Kwa jinsi anavyosema naona uwezekano mkubwa wa rufaa zote kukubaliwa.

subirini
 
Hivi ukinyanganywa kadi yako ya ccm utaomba form ya kujitoa? Na ni kweli tume inazo form za kujitoa? Kama inazo kwa nini isiwaite wote waliojitoa wakajaze form?
Iwaite wakiojitoa kwa lipi? Hakuna mgombea hata mmoja aliyepitishwa wa vyama vya upinzani aliyetangaza kujitoa.Kelele zote za kujitoa ni za viongozi wa juu wa vyama ambao sio walioomba kugombea.Aliyeomba kugombea ndie anatakiwa atamke kujitoa na kumwambia msimamizi kuhusu udhamini wake kuondolewa pia.Wachukua fomu wote wako.kimya wanaobwabwaja na kuchonga Sana midomo ni wa makao makuu ya vyama Tena wanabweka mitaani sio.kwenye Ofisi za wasimamizi wa chaguzi
 
Back
Top Bottom