Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ikulu ziko nyingi mkuu hata Wilayani na Mikoani kuna ikulu,kama ni hizo hata sasa njia ni nyeupe 2025 ni mbali asisubirie..Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Tunaenda na Samia👇