Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

"Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."

Hahah wakati Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.

Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama? NEVER.
Ndiyo Rais sasa unasemaje?
 
Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.

Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Mtoa mada ulidhalilisha sana Taasisi ya ku Rais kwa hayo majina uliyoyataja hapo juu. Makonda bila kusukumwa na Mzee Sitta kwenye u DC, hata ukatibu tarafa hastahili
 
Back
Top Bottom