Nonchalant
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 305
- 432
Well saidHapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidHapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Mwakani kutakuwa na msiba mkubwa wa furaha
Hapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Mwakani kutakuwa na msiba mkubwa wa furaha
Mbona kama unaota mchana. Eti Jafo! Wow! We endelea kuota mchana mwanangu.Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Hili swala si Mara ya kwanza kuona ukiliweka humu jukwaani.Nasikitika kwakua hautakuwa shahidi wa hilo swala, sijajua kama kuna uwezekano wowote wa kulishuhudia huko utakako kuwa.
Vipi bosi hauna buku hapo?Mwanamke hapana na waziri mkuu hapana,rais ajaye Ni Hussein Mwinyi Kama Ni lazima atoke chama chakavu
😍😍Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama Samia big no. I mean sio kwamba simpendi. Ila system haijawekeza kwake. Lazima watakuja na mtu flani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ccm watakapoteua mgombea urais mwanamke ndipo watakapokuwa wamejifunga bao wenyewe mchana kweupee tena bao LA mkono!!
YametimiaJaffo kahurumiwa tu, huko TAMISEMI kashindwa kudhibiti rushwa na matumizi mabaya ya pesa, labda apate u-Rais wa Wasafi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakutakuwa na raisi mwanamke....
hiyo habari ya kufikirika....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hio umeshawahi kumuona Magu akitoa kipaumbele kwny hayo mambo ya Gender kwny utawala wake sio?
Baraza lake la Mawaziri lenyewe wanawake ni 4 tu,ndio leo nafasi kama ya urais awafikirie wanawake?Haipo hio.
Kapewa na Mungu"Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."
Hahah wakati Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.
Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama? NEVER.
Kicheko bado kipo? Kampa urais hajampa, all things considered?"Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."
Hahah wakati Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.
Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama? NEVER.
Raisi wa kuchaguliwa kwenye uchaguzi mkuu kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo mipango ya binadamu. Tatizo mnamsahau Mungu sana.Raisi wa kuchaguliwa kwenye uchaguzi mkuu kaka
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifo cha JPM, imekula kwà Mnyeti mazima kisiasa.Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
MmmhHakutakuwa na raisi mwanamke....
hiyo habari ya kufikirika....