Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.

Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Unamdanganya Jaffo kwa makusudi
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Mama Samia sawa, ila Majaliwa sishauri..

Pia bado ni mapema mno, anything can happen. 2025 tutashangaa Mwenyekiti akajikuta hana nguvu yeyote ya kuzima makundi ndani ya Chama kama ilivyomtokea JK 2015.

Hawa walioko nje akina Makamba, Nape et al; tusiwapuuze kabisa, hasa ikishakuwa confirmed kuwa JPM hataongeza muda. Asitarajie utii wanaomwonesha wataendelea nao throughout.
 
Hii post yako inaweza mfanya Jafo atengenezewe scandal na system ili aondolewe kwenye uwaziri na kufutwa kwenye uso wa siasa za Tanzania kama wengine.

Sijui hamjagundua kuwa Magufuli hataki mtu yoyote apate umaarufu kisiasa zaidi yake. Maana yake anampango wa kuendelea kuongoza zaidi ya miaka hata 20.

Kama unabisha save hii post yangu kabla ya 2022 kuisha ukiona katiba inabadilishwa na kuongezewa muda njoo usome tena nilichoandika hapa na ndyo utaelewa.
huenda ndio lengo la posti hii. UCHONGANISHI!
 
Hapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Hili swala si Mara ya kwanza kuona ukiliweka humu jukwaani.Nasikitika kwakua hautakuwa shahidi wa hilo swala, sijajua kama kuna uwezekano wowote wa kulishuhudia huko utakako kuwa.
 
Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.

Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Mkuu Pascal Mayalla
Karibu huku utujalie maono yako yenye success rate ya zaidi ya 85.6%. Je, kwenye hii orodha yasemwayo ni kweli ama si kweli? Ima bado mapema Sana kupambanua ya 2025?

Karibu mkuu
 
Back
Top Bottom