Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.

Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei

Wakimsimamisha Jafo litakuwa anguko la CCM
 
Hili swala si Mara ya kwanza kuona ukiliweka humu jukwaani.Nasikitika kwakua hautakuwa shahidi wa hilo swala, sijajua kama kuna uwezekano wowote wa kulishuhudia huko utakako kuwa.
Unasemaje kuhusu comment yako? Kumbe jamaa alikomaa nalo sana. Basi kuna watu sio wa kawaida humu. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom