SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Hahaha. Tatizo mnamsahau sana Mungu"Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."
Hahah wakati Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.
Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama? NEVER.