Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.

Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Je hii sentensi bado iko valid?
 
Huyo Mungu mtu aliyekuwa akitabiri rais ajaye ameshindwa kutabiri kifo chake. Usicheze na Mungu bwana.
 
Mambo yanaenda KASI SANA na muda ni mdogo. Tufanye siku iwe na saa 72 siku ya saa 48 haitutoshi tena 😜😜😜 Pasaka njema.
Kweli aisee. Pasaka njema na kwako pia.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom