Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ikulu ziko nyingi mkuu hata Wilayani na Mikoani kuna ikulu,kama ni hizo hata sasa njia ni nyeupe 2025 ni mbali asisubirie..Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Baada ya Samia wakituletea katili jingine lijiandae kutomaliza awamu.Hao wasubirie 2035 ,2025 ni zamu ya waislamu Ili tule mema ya nchi,tukisubiria 2035 awamu ya msoto tena akiingia Mkristo.
HahahaMnyeti lazima awe waziri kabla hii awamu 2 ya Magu haijaisha.
Ni MUST.
🤣🤣Hakutakuwa na raisi mwanamke....
hiyo habari ya kufikirika....
Hatari sanaHapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Is it real or imapangwa tuHivi hiii religion balance
You are highly anointed. Now we know.Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Amen.Stay blessed.You are highly anointed. Now we know.
So it's written "touch not the anointed one". Hatupaswi kukuvurumishia mawe, Bali unastahili kulindwa utujalie mengi yajayo.
Haya bhanaJaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.