Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

Natamani ipige hapo 1
Siwezi sema "It will never happen" lakini kama wanifuatilia uzuri kuna sehemu niliwahi kutoa dondoo kwenye ile first wave.

Hivi umejiuliza yule waziri wa Uchina kwanini alienda Chato na sio Dodoma?

Nyie vijana wa sasa wa JF mwanipa shida sana kwa ugumu wenu wa kuelewa mambo.
 
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.

Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.

Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?

Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe ( za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.

Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
Conclusion yako hipi? Tufanyaje?
 
6.jpg
 
Siwezi sema "It will never happen" lakini kama wanifuatilia uzuri kuna sehemu niliwahi kutoa dondoo kwenye ile first wave.

Hivi umejiuliza yule waziri wa Uchina kwanini alienda Chato na sio Dodoma?

Nyie vijana wa sasa wa JF mwanipa shida sana kwa ugumu wenu wa kuelewa mambo.
Fukua kaburi hilo tuipitie tena
 
Tetete alipeleka chanjo? mbona watu wake wa karibu ndiyo wanaondoka?
 
Fukua kaburi hilo tuipitie tena
Kama wakumbuka uzuri ile first wave mkulu alienda CT na akakaa huko.

Watu waliuliza sana lakini hakukuwa na jibu, ile ilikuwa ni tiba mbadala za uhakika.

Safari hii ni lazima priority iwe tena kule na "delivery man" alikuwa ndo jamaa.

Hivyo, kama ni dose ya kwanza basi wasubiri kati ya wiki 3 na 12 ndio waongeza dose ya pili.

Nchi za ughaibuni zimenunua dawa zote sasa hivi kuna uhaba mkubwa, ila serikali makini duniani zimegharamia hizi dawa.

Wanipata hapo?
 
Hahahaha...
Kweli lakini, ila tukubali, hata hizo vaccines bado hazina uhakika, SA kakataa za UK, tena alivyo bwege eti anataka kuzigawa kwa nchi zilizopo AU?!
Kila vaccine iko kwenye majaribio...
 
Tetete alipeleka chanjo? mbona watu wake wa karibu ndiyo wanaondoka?
Hapana, huenda ni tiba mbadala ndizo zihitaji muda na hifadhi nzuri.

Hivyo hata ukiw ana wageni ni lazima wakufuate hukohuko.
 
Hahahaha...
Kweli lakini, ila tukubali, hata hizo vaccines bado hazina uhakika, SA kakataa za UK, tena alivyo bwege eti anataka kuzigawa kwa nchi zilizopo AU?!
Kila vaccine iko kwenye majaribio...
Israel ndiyo nchi pekee ambayo 1/2 ya raia wake wameshapata chanjo hasa ma kundi hatari na idadi ya vifo imepungua sana.
 
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.

Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.

Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?

Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe ( za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.

Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
Umeandika kishabiki sana
 
Kwenye Corona kila tiba inayotajwa ni sehemu tu ya "trial n error"...

Hata hao wazungu hadi sasa hawana kinga, chanjo wala tiba iliyothibitika, wapo katika phase ya kujaribu...

Kwa lugha nyepesi, hadi sasa Covid-19 imeshakuwa nje ya uwezo wa mwanadamu kuikabili, it's so obvious that peeps will keep on dying...if the law of natural selection exists, then few will remain
 
Hahahaha...
Kweli lakini, ila tukubali, hata hizo vaccines bado hazina uhakika, SA kakataa za UK, tena alivyo bwege eti anataka kuzigawa kwa nchi zilizopo AU?!
Kila vaccine iko kwenye majaribio...

Mkuu kwangu swala siyo vaccine. Far from that! Ukweli ni kwamba as a country we are still in denial (atleast viongozi wetu). tumeshindwa kuwekeza kwenye public sensitization..watu wanawe mikono..sanitizers, barakoa..na vitu vingine kama hivyo.

Hivi kweli swala la kunawa mikono na kuvaa barakoa lina uhusiano gani na mabeberu? Kwanza kunawa mikono ingetusaidia hata kupambana na magonjwa kama kipindupindu na mengineyo yanayowaonea masikini!

Its really pathetic tunashindwa kuchukua hatua za vitu vidogo vidogo kama hivi…...Labda sasa viongozi wanaanza kutwaliwa..wahusika watabadilisha misimamo.
 
Hahahaha...
Kweli lakini, ila tukubali, hata hizo vaccines bado hazina uhakika, SA kakataa za UK, tena alivyo bwege eti anataka kuzigawa kwa nchi zilizopo AU?!
Kila vaccine iko kwenye majaribio...
hawakukataa kishkaji. walifanya uchunguzi kwanza wakagundua haiko effective kwa variant wa covid walionao.
wamebadilisha sasa wamechukua ya mmarekani. PFizer.

lakin hata hivyo sisi wataalam wetu qanakazi gani hapa nchini? mbona hawatengenezi chanjo?
 
Back
Top Bottom