Siwezi sema "It will never happen" lakini kama wanifuatilia uzuri kuna sehemu niliwahi kutoa dondoo kwenye ile first wave.Natamani ipige hapo 1
Conclusion yako hipi? Tufanyaje?Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.
Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.
Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?
Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe ( za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.
Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
Wewe nakuaminia umeana kupata mawili matatu.Ila huyu jamaa nina wasi wasi ameshachanja tayari
Bwashe vipi..kwani wana CCM wanapata Covid? mimi nilijua hii ni special kwa wanachadema na wale maagent wa mabeberu 😎Jafo anapenda sana mizaha!
Fukua kaburi hilo tuipitie tenaSiwezi sema "It will never happen" lakini kama wanifuatilia uzuri kuna sehemu niliwahi kutoa dondoo kwenye ile first wave.
Hivi umejiuliza yule waziri wa Uchina kwanini alienda Chato na sio Dodoma?
Nyie vijana wa sasa wa JF mwanipa shida sana kwa ugumu wenu wa kuelewa mambo.
Tetete alipeleka chanjo? mbona watu wake wa karibu ndiyo wanaondoka?Siwezi sema "It will never happen" lakini kama wanifuatilia uzuri kuna sehemu niliwahi kutoa dondoo kwenye ile first wave.
Hivi umejiuliza yule waziri wa Uchina kwanini alienda Chato na sio Dodoma?
Nyie vijana wa sasa wa JF mwanipa shida sana kwa ugumu wenu wa kuelewa mambo.
Kama wakumbuka uzuri ile first wave mkulu alienda CT na akakaa huko.Fukua kaburi hilo tuipitie tena
Hapana, huenda ni tiba mbadala ndizo zihitaji muda na hifadhi nzuri.Tetete alipeleka chanjo? mbona watu wake wa karibu ndiyo wanaondoka?
Israel ndiyo nchi pekee ambayo 1/2 ya raia wake wameshapata chanjo hasa ma kundi hatari na idadi ya vifo imepungua sana.Hahahaha...
Kweli lakini, ila tukubali, hata hizo vaccines bado hazina uhakika, SA kakataa za UK, tena alivyo bwege eti anataka kuzigawa kwa nchi zilizopo AU?!
Kila vaccine iko kwenye majaribio...
Umeandika kishabiki sanaWewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.
Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.
Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?
Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe ( za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.
Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
Hapana, huenda ni tiba mbadala ndizo zihitaji muda na hifadhi nzuri.
Hivyo hata ukiw ana wageni ni lazima wakufua
Hahahaha...
Kweli lakini, ila tukubali, hata hizo vaccines bado hazina uhakika, SA kakataa za UK, tena alivyo bwege eti anataka kuzigawa kwa nchi zilizopo AU?!
Kila vaccine iko kwenye majaribio...
ngoma na mdomo. hawa watu wamejaliwa perepeche nyingi sanaUmemaliza kazi, aliyesema Mzaramo anachokiweza ni ngoma alikuwa amefanya utafiti mkubwa kuja na conclusion kama hiyo!
hawakukataa kishkaji. walifanya uchunguzi kwanza wakagundua haiko effective kwa variant wa covid walionao.Hahahaha...
Kweli lakini, ila tukubali, hata hizo vaccines bado hazina uhakika, SA kakataa za UK, tena alivyo bwege eti anataka kuzigawa kwa nchi zilizopo AU?!
Kila vaccine iko kwenye majaribio...