ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Kwani China inatengeneza Kila siku kwao? Kuna Nchi haigizi Nje? Ipi hiyo?Tatizo lipo boss, pamoja na vyerehani vyote, 120, bado tunaagiza boxers china. Na ajira ni 480 tu.
Waache upumbavu wao! Hivyo ni viwanda vya aina gani? Tanzania tungekuwa na viwanda zaidi ya 80,000 tungelezamika kutafuta wafanyakazi kutoka nje ya nchi ili kukidhi uhitaji wa nguvukazi. Kila kiwanda kikiajiri watu 100, on average, tunahitaji workforce ya zaidi ya 8 million people, excluding wakulima na wafanyakazi wa services sector. Workforce ya Tanzania, excluding wakulima na wafanyakazi wa services sector, haifiki idadi hii.Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Viwanda vikubwaWaache upumbavu wao! Hivyo ni viwanda vya aina gani? Tanzania tungekuwa na viwanda zaidi ya 80,000 tungelezamika kutafuta wafanyakazi kutoka nje ya nchi ili kukidhi uhitaji wa nguvukazi. Kila kiwanda kikiajiri watu 100, on average, tunahitaji workforce ya zaidi ya 8 million people, excluding wakulima na wafanyakazi wa services sector. Workforce ya Tanzania, excluding wakulima na wafanyakazi wa services sector, haifiki idadi hii.
Shida ya chawa mnahitaji kuwafunga kamba watanzania wote.Siasa ndio nini? Kwani Kuna awamu imewahi kuvutia uwekezaji mkubwa kama awamu ya 6 katika historia ya 🇹🇿?
Viwanda elfu 30 hata Afrika Kusini haina 🤣🤣
Uchawa ni laana... Mbaya zaidi laana inaenda hadi kwa mwenye chawa
Ndio maana nikasema hapo kwenye comment yangu ya awali, labda kama anamaanisha viwanda vya kufyatulisha matofali au vile vya kutengeneza sendozi za wamasai, hapo sawa bandiko lake litakuwa na ukweli.. lakini si viwanda hivi tunavyoona kwa wenzetu vikiajiri mamia au maelefu ya watu.Unajua maana ya viwanda 30,000 wewe?
Vingejengwa 500 tu usingesikia kelele za vijana wasio na ajira!
Acheni propaganda za kijinga!
Kwahiyo hapa tanzania tayari mmeshaanza kutumia robot viwandani? Hahaa hebu acha kuchekesha we jamaa, na pia utuambie ni kiwanda gani hicho kilichoanza kutumia robot tukashangae hata kidogo tuone hiyo efficiency ya robot.AI na robots hazihitaji hizo HR zako ,punguza ujinga
Hivi viwanda vinajengwa wapi wakuu?Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Nadhani wanahesabu hata maguta kuwa ni kiwanda.Viwanda elfu 30 hata Afrika Kusini haina 🤣🤣
Sio tu kuteuliwa akipatiwa tu yale makadi yao,ana kabidhi ubongo kwao anapewa kikaratasi kuwa rasmi ni chawa asiye na ubongo,ila tumbo na mdomo pekee.Nchi hii mtu aliteuliwa kuwa waziri tu anarukwa na akili hapohapo.
Haya mnayoyatamka mnayatambua ninyi wenyewe kabla hamjatamka? Unasema viwanda 30,000 hivi unajua unachosema? Msipige debe kwa nguvu namna hiyo. Viwanda vingi kiasi hicho vingekuwa vimeondoa gap kubwa sana la wasio na ajira. Acheni hadaa zenu.Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Akikupatia hata PM ilete hapa jukwaani ndugu kwa maslahi ya taifa.Wapi naweza kupata PDF yenye hivyo viwanda nione?
Hiyo ni kichawa na chawa stailiHaya mnayoyatamka mnayatambua ninyi wenyewe kabla hamjatamka? Unasema viwanda 30,000 hivi unajua unachosema? Msipige debe kwa nguvu namna hiyo. Viwanda vingi kiasi hicho vingekuwa vimeondoa gap kubwa sana la wasio na ajira. Acheni hadaa zenu.
Hayo ni ya chawa na ccm yao na ndio sababu ya kutuharibia taifa.Panapopatikana ugali we sifia tu, bosi wako hata akinya we sema tu mavi yake yananukia vizuri sana kama marashi ya karafuu.
Nipo naisubiri hiyo PDF hapa bado.Akikupatia hata PM ilete hapa jukwaani ndugu kwa maslahi ya taifa.