Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo lipo boss, pamoja na vyerehani vyote, 120, bado tunaagiza boxers china. Na ajira ni 480 tu.
Kwani China inatengeneza Kila siku kwao? Kuna Nchi haigizi Nje? Ipi hiyo?
 
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==

Waache upumbavu wao! Hivyo ni viwanda vya aina gani? Tanzania tungekuwa na viwanda zaidi ya 80,000 tungelezamika kutafuta wafanyakazi kutoka nje ya nchi ili kukidhi uhitaji wa nguvukazi. Kila kiwanda kikiajiri watu 100, on average, tunahitaji workforce ya zaidi ya 8 million people, excluding wakulima na wafanyakazi wa services sector. Workforce ya Tanzania, excluding wakulima na wafanyakazi wa services sector, haifiki idadi hii.
 
Viwanda vikubwa
Viwanda vya kati
Viwanda Vidogo
 
Viwanda elfu 30 hata Afrika Kusini haina 🤣🤣

Uchawa ni laana... Mbaya zaidi laana inaenda hadi kwa mwenye chawa
Unajua maana ya viwanda 30,000 wewe?

Vingejengwa 500 tu usingesikia kelele za vijana wasio na ajira!

Acheni propaganda za kijinga!
Ndio maana nikasema hapo kwenye comment yangu ya awali, labda kama anamaanisha viwanda vya kufyatulisha matofali au vile vya kutengeneza sendozi za wamasai, hapo sawa bandiko lake litakuwa na ukweli.. lakini si viwanda hivi tunavyoona kwa wenzetu vikiajiri mamia au maelefu ya watu.

Tungekuwa na viwanda hata 1,000 vya intermediary level tusingekuwa na ombwe kubwa la ukosefu wa ajira hivi na wala uchumi wetu usingekuwa umesinzia kiasi hiki, na hata bibi tozo asingekuwa ana aaha kutembeza bakuli.

Halafu eti hili lichawa linakuja kuropoka hapa eti tuna viwanda zaidi ya 30,000 eboo!! kwa umeme upi kwanza uliopo hapa nchini wa kuendesha viwanda vyote hivyo... kinachouzigi haya machawa hayawezi kula kimya kimya bila kudanganya watu huku.
 
AI na robots hazihitaji hizo HR zako ,punguza ujinga
Kwahiyo hapa tanzania tayari mmeshaanza kutumia robot viwandani? Hahaa hebu acha kuchekesha we jamaa, na pia utuambie ni kiwanda gani hicho kilichoanza kutumia robot tukashangae hata kidogo tuone hiyo efficiency ya robot.
 
Itakuwa chini ya bahari ndugu kwa mujibu wa chawa wa ccm,ukiwa mzamiaji pekee ndio utaweza kuajiriwa ama kuviona viwanda hivyo.
 
Panapopatikana ugali we sifia tu, bosi wako hata akinya we sema tu mavi yake yananukia vizuri sana kama marashi ya karafuu.
 
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==

Haya mnayoyatamka mnayatambua ninyi wenyewe kabla hamjatamka? Unasema viwanda 30,000 hivi unajua unachosema? Msipige debe kwa nguvu namna hiyo. Viwanda vingi kiasi hicho vingekuwa vimeondoa gap kubwa sana la wasio na ajira. Acheni hadaa zenu.
 
Hiyo ni kichawa na chawa staili
 
Back
Top Bottom