Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Mungu awabariki sana lakini siku moja mtajuta.Kwa Samia Kila goti litapigwa.Kazi imeanza Dom ππ
View: https://www.instagram.com/p/DGKsOygAEGN/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Propaganda mfu kabisa hizi, the south africa wanaoongoza kwa viwanda africa nzima hata 15000 havifikiKwa Samia Kila goti litapigwa.Kazi imeanza Dom ππ
View: https://www.instagram.com/p/DGKsOygAEGN/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Yaani tujute kuletea Neema Watanzania? ππMungu awabariki sana lakini siku moja mtajuta.
Wewe mpuuzi na huyo fala mwenzako jafo mnagongwa nyuma na mbeleAwamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Unajua kiwanda manake ni nini, mashine za kukoboa mnaita viwanda. Lakini nyie mnafanya propaganda hizi kwa faida ya nani? Kila siku ni kuhadaa watanzania tu hamuoni aibu, au mmelogwa?Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Wakati unaandika ujinga Mimi nakupa location tuu ya viwanda ππPropaganda mfu kabisa hizi, the south africa wanaoongoza kwa viwanda africa nzima hata 15000 havifiki
Nazungumzia viwanda vikubwa active
Ww na popoyo zako unakuja na praise zakijinga unadhani unaongea na wajinga wenzio humu ndani
Give us a break we dont need that bullshit
Viwanda havina nafasi Kwa walimu.Vipo wapi viajiri hao vijana wa NETO? Au vinaonekana usiku tu? Itakua tushaizidi Ujerumani kwa sasa 80k sio mchezo yani! Kwa nini tunaagiza hadi toothpicks sasa?
you seems very stupid
Sawa chawa wa viwanda vya Uchawi usiku mkaliWakati unaandika ujinga Mimi nakupa location tuu ya viwanda ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGRLjo3Oz0D/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Viwanda havina nafasi Kwa walimu.
Tunaagiza hadi toothpicks eti tuna viwanda kuzidi Ujerumani labda vya uchawiPropaganda mfu kabisa hizi, the south africa wanaoongoza kwa viwanda africa nzima hata 15000 havifiki
Nazungumzia viwanda vikubwa active
Ww na popoyo zako unakuja na praise zakijinga unadhani unaongea na wajinga wenzio humu ndani
Give us a break we dont need that bullshit
Mpaka toilet paper tunaagiza.Tunaagiza hadi toothpicks eti tuna viwanda kuzidi Ujerumani labda vya uchawi
Kazi yangu ni kukuonesha viwanda,wewe unadhani ni Nchi gani haigizi hivyo? πTunaagiza hadi toothpicks eti tuna viwanda kuzidi Ujerumani labda vya uchawi
Bado hujasema Mzee Hadi useme π πyou seems very stupid
Nchi gani haiagizi toilet paper? ππππMpaka toilet paper tunaagiza.
Nakupa location ya viwanda tuu vilivyotengenezwa awamu ya Mama ππSawa chawa wa viwanda vya Uchawi usiku mkali
Kwa nini?Inawezekana kwa sasa Tanzania ina viwanda vingi kuliko Taiwan
Kwa sababu takwimu zinaonesha hivyoKwa nini?