Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Vipo wapi viajiri hao vijana wa NETO? Au vinaonekana usiku tu? Itakua tushaizidi Ujerumani kwa sasa 80k sio mchezo yani! Kwa nini tunaagiza hadi toothpicks sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Samia Kila goti litapigwa.Kazi imeanza Dom 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGKsOygAEGN/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Kwa Samia Kila goti litapigwa.Kazi imeanza Dom 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGKsOygAEGN/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Yaani tujute kuletea Neema Watanzania? 😁😁Mungu awabariki sana lakini siku moja mtajuta.
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==

Wakati unaandika ujinga Mimi nakupa location tuu ya viwanda 👇👇Propaganda mfu kabisa hizi, the south africa wanaoongoza kwa viwanda africa nzima hata 15000 havifiki
Nazungumzia viwanda vikubwa active
Ww na popoyo zako unakuja na praise zakijinga unadhani unaongea na wajinga wenzio humu ndani
Give us a break we dont need that bullshit
Viwanda havina nafasi Kwa walimu.Vipo wapi viajiri hao vijana wa NETO? Au vinaonekana usiku tu? Itakua tushaizidi Ujerumani kwa sasa 80k sio mchezo yani! Kwa nini tunaagiza hadi toothpicks sasa?
Wakati unaandika ujinga Mimi nakupa location tuu ya viwanda 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGRLjo3Oz0D/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Viwanda havina nafasi Kwa walimu.
Tunaagiza hadi toothpicks eti tuna viwanda kuzidi Ujerumani labda vya uchawiPropaganda mfu kabisa hizi, the south africa wanaoongoza kwa viwanda africa nzima hata 15000 havifiki
Nazungumzia viwanda vikubwa active
Ww na popoyo zako unakuja na praise zakijinga unadhani unaongea na wajinga wenzio humu ndani
Give us a break we dont need that bullshit
Mpaka toilet paper tunaagiza.Tunaagiza hadi toothpicks eti tuna viwanda kuzidi Ujerumani labda vya uchawi
Kazi yangu ni kukuonesha viwanda,wewe unadhani ni Nchi gani haigizi hivyo? 😁Tunaagiza hadi toothpicks eti tuna viwanda kuzidi Ujerumani labda vya uchawi
Bado hujasema Mzee Hadi useme 👇 👇you seems very stupid
Nchi gani haiagizi toilet paper? 😁😁👇👇Mpaka toilet paper tunaagiza.
Nakupa location ya viwanda tuu vilivyotengenezwa awamu ya Mama 👇👇Sawa chawa wa viwanda vya Uchawi usiku mkali
Kwa nini?Inawezekana kwa sasa Tanzania ina viwanda vingi kuliko Taiwan
Kwa sababu takwimu zinaonesha hivyoKwa nini?