Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nawasalimu wanaJF.

Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.

Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika kukabiliana na upungufu wa umeme.
uwekezaji wa muda mfupi wakati tuna massive decisive project ni ujuha kalulu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika.

Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
 
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika. Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
Hydropower inategemea hali ya hewa Yes...hali ya hewa ni pamoja na eli nino wakati fulani.
 
Maji yakizidi ni faida kwa umeme unaotegemea maji lakini yakipungua ni tatizo.
 
Wakikamilisha bwawa watapata wapi michongo ya upigaji kwenye nishati?
Bado unaweza kupiga dili kwenye bwawa hilo.but for the betterment of Mother Tanzania tukamilishe huu mradi then tuanze kupambana na neo features za madili ya hydropower.
 
Na wasi wasi na huyo jamaa anaweza kukwamisha
 
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika. Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.

hakuna biashara isiyotegemea hali ya hewa ili kuweka mizaania sawa

Msingi wa vitu vyote ni ARDHINI
hata MADINI hubadirika upatikanaji kutokana na hali ya hewa na mabadiliko tabia NCHI hata binadamu Afya yake hubadilika kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Hata magari yanayotembea balabalani hufanisi uongezeka ama kupungua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

Hata simu yako hufanisi uongezeka ama kupungua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

basi hata hilo ni jambo la kawaida 7bu dunia imeumbwa ili wewe binadamu na nyenzo zako uweze kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa mbalimbali
 
Umesikia amesema haukamilishi?
Au basi tu ili mradi umepost.
 
Nawasalimu wanaJF.

Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.

Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika kukabiliana na upungufu wa umeme.
uwekezaji wa muda mfupi wakati tuna massive decisive project ni ujuha kalulu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Na hicho ndiyo tunataka kusikia hatuwezi kulaza matrilion alafu mtu atuchepushe
 
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika.

Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
Inaonekana umerogwa, au unauza majenereta
 
Back
Top Bottom