Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

Nawasalimu wanaJF.

Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.

Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika kukabiliana na upungufu wa umeme.
uwekezaji wa muda mfupi wakati tuna massive decisive project ni ujuha kalulu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hauna maana yeyote ile maana bila kutwambia nini kilitokea kwenye mradi wa gesi ya mtwara hatukubali kudanganywa.
 
Kama akikuelewa nitag,huyo na timu yake wanahasira na marehemu
Watwambie kwanini walitelekeza mradi wa bomba la gesi ya kutoka mtwara na kuparamia huo mradi wa mwl JK Nyerere HP
 
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika.

Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
January ni mpigaji tu hana lolote
 
Bado unaweza kupiga dili kwenye bwawa hilo.but for the betterment of Mother Tanzania tukamilishe huu mradi then tuanze kupambana na neo features za madili ya hydropower.
Hakuna kitakacho endelea hapo
 
Mabadiliko ya tabia nchi hayako scientific proven at ukiangalia kupanda kwa joto kwa karne hii ni kama 1pc, ndio maana Trump ali piga chini paris accord. Ila kuna uhalisia wake. Cha msingi ni kuna na chanzo cha uhakika. Tufikirie gas, nuclear, thermo, sola kuna nchi zime weka turbines chini ya maji kufatana na ocean currents
 
Nawasalimu wanaJF.

Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.

Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika kukabiliana na upungufu wa umeme.
uwekezaji wa muda mfupi wakati tuna massive decisive project ni ujuha kalulu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hivi huwa anapita pita humu walau asikie huu ushaur?
 
Nawasalimu wanaJF.

Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.

Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika kukabiliana na upungufu wa umeme.
uwekezaji wa muda mfupi wakati tuna massive decisive project ni ujuha kalulu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kalemani tumekusikia
 
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika.

Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
Maneno ya kijinga tu haya kuna nchi haazizimi umeme.
 
Back
Top Bottom