Hydropower inategemea hali ya hewa Yes...hali ya hewa ni pamoja na eli nino wakati fulani.Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika. Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
Maji yakizidi ni faida kwa umeme unaotegemea maji lakini yakipungua ni tatizo.Hydropower inategemea hali ya hewa Yes...hali ya hewa ni pamoja na eli nino wakati fulani.
Bado unaweza kupiga dili kwenye bwawa hilo.but for the betterment of Mother Tanzania tukamilishe huu mradi then tuanze kupambana na neo features za madili ya hydropower.Wakikamilisha bwawa watapata wapi michongo ya upigaji kwenye nishati?
CCM ndio ALPHA NA OMEGA
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika. Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
Na hicho ndiyo tunataka kusikia hatuwezi kulaza matrilion alafu mtu atuchepusheNawasalimu wanaJF.
Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.
Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika kukabiliana na upungufu wa umeme.
uwekezaji wa muda mfupi wakati tuna massive decisive project ni ujuha kalulu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Inaonekana umerogwa, au unauza majeneretaAwamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika.
Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.