Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

Kwahiyo kama nchi ya marekani haizimi umeme unataka na Tanzania isizime umeme akili za kifaller hizi
We endekeza huo uchawa Kama inawezekana huko kwa Nini hapa isiwezekane wkt STD zinazotumika ni hizohizo.hii nchi leo inaendeshwa je?
 
Makamba Tafadhali sana tunaomba huo mradi ukamilike kwa wakati.
 
wapinzani wa bongo wangekua wanajitambua basi huu mradi usingeirudisha ccm 2025, maana ninajua hautakamilika kutokana na waziri alieteliuwa waziri wa nishati kua ni zero yaaani seti tupu kabisa hio.
 
wapinzani wa bongo wangekua wanajitambua basi huu mradi usingeirudisha ccm 2025, maana ninajua hautakamilika kutokana na waziri alieteliuwa waziri wa nishati kua ni zero yaaani seti tupu kabisa hio.
Empty set kwa kweli
 
map-bu yako unadhani sisi wajinga?
 
Tengenezeni bwawa. Tuache visingizio vya hali ya hewa.

Mvua zitanyesha na mvua ya siku mbili tu yatosha kujaza bwawa. Usicheze na mbingu.

Hydropower inategemea hali ya hewa Yes...hali ya hewa ni pamoja na eli nino wakati fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…