Waziri January Makamba anajua kulea na kufundisha uongozi, namuona Balozi Humphrey Polepole ameiva kiuongozi tofauti na zamani

Kuwa bosi ni title tu ila unahitaji uwe na watu wenye akili kulinda cheo chako.
Sio title tu, Makamba anaweza ndio maana hata huyo Magufuli wenu alimteua kuwa Waziri kwa miaka mingi, na hakuthubu kukata jina lake kwenye uchaguzi wa 2020 japokuwa alikuwa hampendi
 
Mmh.. kwenye Siasa kuna mambo mengi. Kuachwa ni kwa sababu za kisiasa tu. Makamba anakwiba pesa anapeleka Afrika Kusini huku jimboni kuko hoi. Hii ndio akili?

Makamba tangu awe Waziri wa Mambo ya Nje kashindwa aanzie wapi. Bora hata yule Mhaya Mulamula.

Makamba kapewa Tanesco katuingiza gizani hadi hatuelewi. Ila kawapa wahidi deal la maana na yeye akabaki na utajili.

Samia mwenyewe keshaona famba lile.
#Kataa wahuni.
 
Sio title tu, Makamba anaweza ndio maana hata huyo Magufuli wenu alimteua kuwa Waziri kwa miaka mingi, na hakuthubu kukata jina lake kwenye uchaguzi wa 2020 japokuwa alikuwa hampendi
Naam
 
Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.

Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.

Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.

Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.

Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Jukwaa limevamiwa na chawa na kunguni. Walamba viatu.

Sent from my CPH2067 using JamiiForums mobile app
 
We kweli chawa ..Yani January huyo Kichwa maji ndio wa kumfundisha uongozi Pole pole? Yani kweli hata ukimweka pamoja Pole Pole na January wajenge hoja au waongelee jambo lolote kila mtanzania anajua nani ni bora na wala hili halina mjadala kabisa!

Hahahahaha hivi kweli vichekesho kabisa…..😂😂😂😂
Kuna watu kweli mna tetekuwanga za ubongo, yaani hako kapolepole kashindane na makamba kwa hoja?!!! Thubutu yakeeee! Ameachwa mbali mno. Umeuanza mwaka vibaya wewe!!
 
Makamba aliweza lini kujenga hoja?
Msijitoe ufahamu.
Miaka 100 ijayo January Makamba atakaribia 50% ya uwezo wa hoja na uongozi wa Humphrey Polepole.

Polepole anapata darsa ya uongozi kwa Makamba Junior
 
Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.

Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.

Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.

Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.

Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Januari makamba kiuongozi hana sifa za polepole. Hapo ni chawa tu wa makamba kujaribu kumuinua makamba kupitia polepole. Makamba amefeli kila mahali. Wizara ya nje kafeli kuingilia kisahihi na kwa muda muafaka kuokoa vijana waliyokua wamepelekwa umanamba huko israel kwa kisi gizio cha mafunzo. Tumeona thailand raia wake wakiachiwa ila sisi vijana wetu wameuliwa.
 
Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.

Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.

Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.

Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.

Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Vijana wengi wa kitanzania ni wa hovyo sana. Uchawa, ndio wanaweza. Yaan, MTU aliyeiba mitihan ya sekondari, Leo hii ndio awe na akili kuliko polepole.
 
Yeye mwenyewe hajawiva kiuongozi, atawezaje kumlea Polepole?

Makamba mna mu-overate sana lakini hana lolote zaidi ya kubebwa na Baba yake na mstaafu JK. Kaachiwa nishati kama waziri katuletea mgawo wa umeme. Rubbish tu hii eti ndiyo ana ndoto za kuwa Rais wa Tz. Ataishia Bumbuli tu
 
Vijana wengi wa kitanzania ni wa hovyo sana. Uchawa, ndio wanaweza. Yaan, MTU aliyeiba mitihan ya sekondari, Leo hii ndio awe na akili kuliko polepole.
John Major, waziri mkuu wa zamani wa uingereza hata shule alikuwa hana, Jackob Zuma hivyo hivyo, hayo mavyeti ya Polepole ya kukata viuno, sijui kasomea utamaduni na ngoma
 
Makamba aliweza lini kujenga hoja?
Msijitoe ufahamu.
Miaka 100 ijayo January Makamba atakaribia 50% ya uwezo wa hoja na uongozi wa Humphrey Polepole.
Binafsi ngoja nikuache, najua una matatizo ya sehemu hii si bure!
 
Polepole ni mtu bora sana kuliko huyo uliyemsema. Polepole anaweza hata kuongoza Nchi na siyo huyo mhuni wako
 
Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.

Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.

Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.

Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.

Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Kupata kichekesho kama hichi bonyeza:

*Kataawahuni*2025#
 
Ukipunguza upumbavu itakusaidia sana hasa kipindi hiki Cha January
 
Leo bosi wa polepole ni makamba yule alomsemea babaake vibaya hahahaha maisha haya ukipata nafasi mtukuze Mungu,waheshimu watu... Poor polepole
 
Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.

Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.

Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.

Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.

Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Hakuna waziri hapo kuna kilaza tu.
 
Back
Top Bottom