Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sio title tu, Makamba anaweza ndio maana hata huyo Magufuli wenu alimteua kuwa Waziri kwa miaka mingi, na hakuthubu kukata jina lake kwenye uchaguzi wa 2020 japokuwa alikuwa hampendiKuwa bosi ni title tu ila unahitaji uwe na watu wenye akili kulinda cheo chako.
Mmh.. kwenye Siasa kuna mambo mengi. Kuachwa ni kwa sababu za kisiasa tu. Makamba anakwiba pesa anapeleka Afrika Kusini huku jimboni kuko hoi. Hii ndio akili?Sio title tu, Makamba anaweza ndio maana hata huyo Magufuli wenu alimteua kuwa Waziri kwa miaka mingi, na hakuthubu kukata jina lake kwenye uchaguzi wa 2020 japokuwa alikuwa hampendi
Hata hizo risala anaandikiwa na majizi yenzieFebruary kitu pekee anachoweza ni kuiba mitihani, kuiba Kura, kuiba pesa za umma
na kuandiika risala
Jukwaa limevamiwa na chawa na kunguni. Walamba viatu.Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.
Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.
Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.
Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.
Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Mimi binadamu mkuu, sio chawa au kunguniJukwaa limevamiwa na chawa na kunguni. Walamba viatu.
Sent from my CPH2067 using JamiiForums mobile app
Kuna watu kweli mna tetekuwanga za ubongo, yaani hako kapolepole kashindane na makamba kwa hoja?!!! Thubutu yakeeee! Ameachwa mbali mno. Umeuanza mwaka vibaya wewe!!We kweli chawa ..Yani January huyo Kichwa maji ndio wa kumfundisha uongozi Pole pole? Yani kweli hata ukimweka pamoja Pole Pole na January wajenge hoja au waongelee jambo lolote kila mtanzania anajua nani ni bora na wala hili halina mjadala kabisa!
Hahahahaha hivi kweli vichekesho kabisa…..😂😂😂😂
Kuna watu kweli mna tetekuwanga za ubongo, yaani hako kapolepole kashindane na makamba kwa hoja?!!! Thubutu yakeeee! Ameachwa mbali mno. Umeuanza mwaka vibaya wewe!!
Januari makamba kiuongozi hana sifa za polepole. Hapo ni chawa tu wa makamba kujaribu kumuinua makamba kupitia polepole. Makamba amefeli kila mahali. Wizara ya nje kafeli kuingilia kisahihi na kwa muda muafaka kuokoa vijana waliyokua wamepelekwa umanamba huko israel kwa kisi gizio cha mafunzo. Tumeona thailand raia wake wakiachiwa ila sisi vijana wetu wameuliwa.Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.
Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.
Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.
Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.
Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Vijana wengi wa kitanzania ni wa hovyo sana. Uchawa, ndio wanaweza. Yaan, MTU aliyeiba mitihan ya sekondari, Leo hii ndio awe na akili kuliko polepole.Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.
Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.
Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.
Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.
Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Yeye mwenyewe hajawiva kiuongozi, atawezaje kumlea Polepole?Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.
Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.
Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.
Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.
Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
John Major, waziri mkuu wa zamani wa uingereza hata shule alikuwa hana, Jackob Zuma hivyo hivyo, hayo mavyeti ya Polepole ya kukata viuno, sijui kasomea utamaduni na ngomaVijana wengi wa kitanzania ni wa hovyo sana. Uchawa, ndio wanaweza. Yaan, MTU aliyeiba mitihan ya sekondari, Leo hii ndio awe na akili kuliko polepole.
Binafsi ngoja nikuache, najua una matatizo ya sehemu hii si bure!Makamba aliweza lini kujenga hoja?
Msijitoe ufahamu.
Miaka 100 ijayo January Makamba atakaribia 50% ya uwezo wa hoja na uongozi wa Humphrey Polepole.
Kipanga vs muhuni😝😝Polepole ni mtu bora sana kuliko huyo uliyemsema. Polepole anaweza hata kuongoza Nchi na siyo huyo mhuni wako
Kupata kichekesho kama hichi bonyeza:Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.
Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa hafanyi hivyo, ametambua kwamba watanzania wanapenda kiongozi wao awe na staha, aondoe tabia za hovyo hovyo zinazoashiria utoto na ulimbukeni. Hongera sana January Makamba kwa kuwapa uongozi mabalozi wetu hasa Polepole.
Endelea "kumpika" katika mambo ya protocol na utendaji wa serikali. Ametokea katika NGO za mitaani mitaani huko alikiwq anatembea na kibegi cheusi kwapani, na hicho kibegi ndio ilikuwa ofisi yake. Hajajua kwamba kuna mambo lazima yahakikiwe kiserikali kabla ya kuwa rasmi,mfano matumizi ya dawa ambazo yeye anataka zije bila kujali kwamba lazima zihakikiwe na mamlaka za nchi, kuzipima kama hazina madhara, na pia kuwasiliana na WHO.
Na mwisho, hata mazungumzo yake na Jenerali Ulimwengu yalionyesha ukomavu na utulivu wa kiuongozi. Tofauti na zamani ambapo alikiwq mjivuni, mwenye utoto mwingi, anatukana viongozi mitandaoni. Binafsi nilimfananisha na Mdude Nyagali, moja ya vijana wa hovyo wa Chadema.
Kongole January Makamba kwa kazi nzuri, endelea kumsimamia kijana wako Humphrey Polepole.
Hakuna waziri hapo kuna kilaza tu.Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.