Waziri January Makamba anajua kulea na kufundisha uongozi, namuona Balozi Humphrey Polepole ameiva kiuongozi tofauti na zamani

January hawezi mfundisha Polepole uongozi,mfatilie toka enzi za katiba mpya anampiga spana JK yuko very Smart.
Ni vile Jiwe alimlevya kibuli cha uzima ila ni bonge la mtu.Fuatilia speech aliyotoa alipomuwakilisha malaika mkuu kule ADDISABABA Ethiopia
 
Makamba ni legend, kavuka milima na mabonde.
 
Makamba alikuwa overated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…