Aaronrweumbiza
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 577
- 711
Kweli mzee,Kama uzalishaji umepanda mfumko wa bei unatoka wapi? The market is controlled by demand and suplly. Kama kuna uzalishaji mwingi basi supply ni kubwa hivyo bei inakuwa ndogo.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Ndio awamu ya 5
Hivi mnafikiri watu wote wamejaza vinyesi kichwani kama nyie?Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.
JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.
Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.
2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Mkuu tambua kuwa yeye ndiye waziri mwenye dhamana katika wizara hiyo, hivyo ndiye anaewajibika iwe kwa mazuri au mapungufu ya wizara yake! Ndiyo maana huwa wanatenguliwa japo makosa yamefanywa na watendaji wake.Je, uwaziri wa Makamba unahusika vipi na kukatika umeme?
Wewe ni mtoto mdogo sana huwezi kuelewa, acha sisi baba zako tujadili hizi madaJe, uwaziri wa Makamba unahusika vipi na kukatika umeme?
Alafu hapo ulipo ukiwa kwenye kundi lenu la bavicha unajitahidi kwa juhudi zote kutanua matamvua zako kulaumu ccm kwamba haileti maendeleo, ila wakitokea watu kujaribu kuwachalenji mawaziri unasema ni chuki!kuna kundi moja ndani ya CCM linaumia Makama kuwa Waziri wa Nishati, Msukuma ni mjumbe tu - katumwa.
Umenena Ukweli mtupu....Tatizo hampendi kuambiwa ukweli kutokana na muda mrefu kupigwa kamba. Huo ndio ukweli.
Wewe ni mtoto mdogo sana huwezi kuelewa, acha sisi baba zako tujadili hizi mada
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mbunge ana room kubwa sana kama ana nia ya dhati ya kuikosoa Serikali yake ya CCM, sidhani Mbunge Msukuma alishawahi kufika ofisini kwa Waziri Makamba kutaka ufafanuzi wa tuhuma zake, na kama angefika sidhani angeongea hayo aliyoyasema bila kusikiliza upande wa pili.Alafu hapo ulipo ukiwa kwenye kundi lenu la bavicha unajitahidi kwa juhudi zote kutanua matamvua zako kulaumu ccm kwamba haileti maendeleo, ila wakitokea watu kujaribu kuwachalenji mawaziri unasema ni chuki!
Nchi hii kuna watu mmelaaniwa aisee
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hakuna ukweli wowote hapo, watu wanachotaka ni umeme hayo mengine wayafanye huko kwenye mipango yaoUmenena Ukweli mtupu....
Sasa hapo kuna haja gani ya kuwa na bunge? Bungeni Kuna muda wa maswali na majibu, na sio makamba tu anayeulizwa maswali hayo maswali yapo kwa mawaziri wote.Mbunge ana room kubwa sana kama ana nia ya dhati ya kuikosoa Serikali yake ya CCM, sidhani Mbunge Msukuma alishawahi kufika ofisini kwa Waziri Makamba kutaka ufafanuzi wa tuhuma zake, na kama angefika sidhani angeongea hayo aliyoyasema bila kusikiliza upande wa pili.
Hata hivyo Makamba ametoa ufafanuzi mzuri mno, na watanzania tumeridhika - majibu mazuri yenye mantiki.
Hawa ya5Je, Tanzania umeme umeanza kukatika leo au jana?
Kuna awamu yoyote umeme ulikuwa haukatiki?
Ukimsikiliza Msukuma vizuri utaona nia yake haikuwa kupata ufafanuzi wa zile shutuma kwa nia njema laah bali ilikuwa ni kutaka kumshambulia Waziri na kuutangazia umma kwamba hafai kuongoza hiyo Wizara.Sasa hapo kuna haja gani ya kuwa na bunge? Bungeni Kuna muda wa maswali na majibu, na sio makamba tu anayeulizwa maswali hayo maswali yapo kwa mawaziri wote.
Mbona kwenye suala la maji, aweso anajibu na hatusemi wanamuonea wivu?
Alafu usiseme watanzania wote tumeridhika, acha huo ujinga
Hawa ya5
Wananchi tunataka umeme, maji,barabara, hospitali na Uhuru bas hatutaki manenoWatanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.
JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.
Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.
2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Hata kina Lisu na wabunge wengine walivyokuwa wanabwabwaja kwa kutoa tuhuma lukuki kule bungeni ulishawahi kuongea kama hivi?..Mbunge ana room kubwa sana kama ana nia ya dhati ya kuikosoa Serikali yake ya CCM, sidhani Mbunge Msukuma alishawahi kufika ofisini kwa Waziri Makamba kutaka ufafanuzi wa tuhuma zake, na kama angefika sidhani angeongea hayo aliyoyasema bila kusikiliza upande wa pili.
Hata hivyo Makamba ametoa ufafanuzi mzuri mno, na watanzania tumeridhika - majibu mazuri yenye mantiki.
Makamba aliiba NECTA ya form IV,wakampa kichwa akaenda kuresit.Hili nchi ndio maana ipo nyuma sana sababu ya kuendekeza viongozi vilaza kama huyu.