Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo ila ulinichekeshaga siku ile kitaa kwenu ulipigwa kabari ukawa mpolee ila ukawatafuta baadaye mmoja baada ya mwengine.Ns swali kaulizwa yeye km waziri anamchomekea Samia wa nini.
Eti km una chuki na mimi au mama Samia.
Jibu swali kuhusu kukatika kwa umeme kiholela full stop.
Tanzania ina vichekesho sana. Umeme hautoshi na bado hatuna mipango ya kuhakikisha project zilizopo zinakamilika mapema. Shida ya nani sasa? Tumekuwa wapiga porojo na wapiga dili tu kila siku.Kwani Makamba anakata umeme makusudi.
Tatizo sio Waziri, infact mtu yeyote akikalia kiti kile hata wewe leo hii umeme utaendelea kukatwa sababu mahitaji ya umeme yamezidi kuliko uzalishaji, kumbuka umeme umesambazwa sana vijijini na mahitaji yameongezeka kuzidi kasi ya kuongeza uzalishaji wa umeme.
Waziri msomi wa Conflict Resolution na mjuaji wa maswala ya Nishati anatuona siye hamnazo nadhani.Kama uzalishaji umepanda mfumko wa bei unatoka wapi? The market is controlled by demand and suplly. Kama kuna uzalishaji mwingi basi supply ni kubwa hivyo bei inakuwa ndogo.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa Sana, mawaziri wote hubanwa kuhusu suala fulani, yeye akibanwa anamuingiza raisiMakamba mpuuzi kweli, anamuingiza Rais kwenye masuala ya wizara yake kama kichaka cha kuficha udhaifu wake, lazima awe accountable kama kazi imemshinda apishe wengine.
Urais wa Samia unahusika nini na kukatika umeme?
Ndio tabia yake inaonekana ata alipovurugana na Magufuli kwenye sakata la audio clips. Akatupia picha akiwa na mzee Mwinyi wanacheka kama vile mzee wa watu ana support zile clips; mzee Mwinyi wacha amjie juu.Ns swali kaulizwa yeye km waziri anamchomekea Samia wa nini.
Eti km una chuki na mimi au mama Samia.
Jibu swali kuhusu kukatika kwa umeme kiholela full stop.
..
..
Urais wa Samia unahusika nini na kukatika umeme?
Anajua fika hapo alipofika ni kwa hisani ya Mh.Rais na bila kujificha kwenye kivuli cha Rais atakuwa na wakati mgumu sana,sote tunajua uwezo wa kujisimamia yeye mwenyewe hana.Ns swali kaulizwa yeye km waziri anamchomekea Samia wa nini.
Eti km una chuki na mimi au mama Samia.
Jibu swali kuhusu kukatika kwa umeme kiholela full stop.
Ndio somo lake hilo usipeleke urafiki kwenye kazi, jamaa yako awezi kubali.Je, uwaziri wa Makamba unahusika vipi na kukatika umeme?
kuna kundi moja ndani ya CCM linaumia Makama kuwa Waziri wa Nishati, Msukuma ni mjumbe tu - katumwa.January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.
🤣Ndio tabia yake inaonekana ata alipovurugana na Magufuli kwenye sakata la audio clips. Akatupia picha akiwa na mzee Mwinyi wanacheka kama vile mzee wa watu ana support zile clips; mzee Mwinyi wacha amjie juu.
Tanzania ina vichekesho sana. Umeme hautoshi na bado hatuna mipango ya kuhakikisha project zilizopo zinakamilika mapema. Shida ya nani sasa? Tumekuwa wapiga porojo na wapiga dili tu kila siku.
Siamini toka 1990 mpaka leo hatujaweza kupata ufumbuzi wa tatizo la umeme kwa sababu hatuna ufumbuzi. Tumeweka hilo eneo kiporo ili tuendelee kula bila kutoa jasho.
Tuna gas, makaa ya mawe, maji etc
Ndio somo lake hilo usipeleke urafiki kwenye kazi, jamaa yako awezi kubali.
..
..
Unakumbuka kipindi kapigwa chini akaibuka na picha ya Mwinyi?anataka kujenga taswira kuwa yeye na Rais wanachukiwa ili aendelee kupata hurumaNs swali kaulizwa yeye km waziri anamchomekea Samia wa nini.
Eti km una chuki na mimi au mama Samia.
Jibu swali kuhusu kukatika kwa umeme kiholela full stop.
Apige kazi kwenye matako yako.Watu wajinga kama nyie ni hasara kwa taifaWaziri Makamba yuko sahihi 100%. Bahati mbaya hatokei kambi ileeee inayomong'onyoka kila uchwao. Ame tabulate figures, facts walizoficha kina Kalemane kwa style ile ya kuambiwa ni fedha za ndani kumbe ni mikopo tuuu! JNHP imechelewa kwa siku zaidi ya 470 lakini Kalemani alisema maji yangeanza kujazwa Nov 2021. Ukweli ndio dawa ya kupona. Asante MakambabJnr. Piga kazi.