Na ziara inaanza huko,Kuna kichwa cha mtu kinaliwa,bi Kizmkazi Hana jipya Hana mvuto,anafikiri.kuteua ndo vibe,hapana tunaomba upishWaziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
Picha na Edwin Mjwahuzi
View attachment 3105540
View attachment 3105541
Wao waende mbali zaidi...Fikiria huyo ni waziri anafanya huo uchawa, je chawa kama ChoiceVariable na Lukas mwashamba unadhani wanaweza kufanyaje? Lakini bahati mbaya kwa taifa chawa hao ndio wanaongoza wizara na idara mbalimbali za serikali.
Atolewe uwaziri hatuwez kuwa na mawaziri wanashukuru kwa kodi za wananchi ni majukumu na wajibu wake kuleta maendeleo kila kona ya nchiWaziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Kaka usiumie professa asad alisema kuna watu wakp kwenye possition hawajui wafanye nini unaweza kuta wazir ila na yeye hajui afanye nn. yale yale ya bashite eti unaenda anadika instagram mbowe nasikia uko arusha karbu afu kesho mbowe yuko dsm unaweza kuona ni type gan ya viongozi tulikpkua nao hawajui wafanye nn kwenye possition zaoKitu Kinachonitia Hofu sana Ni kwamba Huyo Ndiyo Mshauri wa Rais kwa Upande wa Afya..
Ni vigumu sana Kushauri kitu kwa Kutilia Mkazo kama Atatishiwa au Kukataliwa Mawazo yake..
Napata Hofu sana..
Eeh Mungu wangu Chama changu Kinaenda wapi?😭😭
Najua Kuwa Siwezi kuhama Kwenda Upinzani, Chadema au ACT ila Naumia Nikiyaona haya..
Kwa Uchungu kabisa..
CC:- Tlaatlaah
Fikiria huyo ni waziri anafanya huo uchawa, je chawa kama ChoiceVariable na Lukas mwashamba unadhani wanaweza kufanyaje? Lakini bahati mbaya kwa taifa chawa hao ndio wanaongoza wizara na idara mbalimbali za serikali.
Kwani kuna mkeka unatarajiwa???Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Nadhani kama kuna mtu ambae amawakosha watu wa Paramiho leo, basi ni huyu waziri Jenista Muhagama. Kwasababu kwa umahiri mkubwa sana ametumia utamaduni wa Kingoni, kumshukuru Rais kishujaa sana kwa kuzingatia mila, desturi na utamaduni wa Kingoni, katika kumshukuru kiongozi mkuu, tena mkuu wa nchi na Taifa la Tanzania kwa kazi nzuri sana aliyoifanya kwa wananchi wa Jimbo la Paramiho.Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Mambo Mengi..Majukumu Yalikuwa yanakaba Sana..Dokta umeadimika.
Umalaya tu unamsumbua ndiyo maana analala na vibentenWaziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Inahitaji akili ya mwendawazimu kuiunga mkono CCMFikiria huyo ni waziri anafanya huo uchawa, je chawa kama ChoiceVariable na Lukas mwashamba unadhani wanaweza kufanyaje? Lakini bahati mbaya kwa taifa chawa hao ndio wanaongoza wizara na idara mbalimbali za serikali.
Ana miguu mibaya wenye foot fetish apa hawapatiWaziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
Picha na Edwin Mjwahuzi
View attachment 3105540
View attachment 3105541