Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh 😃 😃 huyu mwamba alibadili ID nini ?
Co 7bu hiyo.Wazungu wanawaita waafrika manyani Kwa sababu ya watu wachache wajinga namna hii
Mzima wa afya anakusalamiaMambo Mengi..Majukumu Yalikuwa yanakaba Sana..
Vipi Mama Mkwe Mzima
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Hongea mundele
Mungu ndiye wa kuabudiwa Siyo MTU.Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Tena! Maana kughalaghala huku kama sikosei kulishafanyika ama miezi ya mwanzoni mwaka huu au mwaka jana.Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Utamaduni wa Kingoni naufahamu na nafahamu hata Staili aliyofanya Inaitwa Kugalauka...vijana wasio na utambulisho wa kitamaduni kuna tabu, mshangao na sintofahamu nyingi sana aise dah
hili nalo ni la kushangaza au kusikitisha kweli?....
Mtu kama huyu ukiingia ofisini kwake bila kumsujudu utakoma.Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake...
wamama walilala Nape akatembea juu yao huko mtama. Lakini pia walitandika kanga ili asikanyage vumbi ni utamaduni wa huko kwao Lindi.Utamaduni wa Kingoni naufahamu na nafahamu hata Staili aliyofanya Inaitwa Kugalauka...
Ila Inashangaza Pale ambapo Utagalauka Bila Kufata Mavazi ya Kugalaukia...
Hahahaha hii comment ilinichekeshaga sana miaka nane iliopita
Hujawahi kusikia kuhusu utamaduni wa kipumbavu?Ndio utamaduni wao. Nimeshuhudia mara kibao Jenista akija Jimboni wanawake wakigalagala kumshukuru kwa kazi nzuri. Ni haki naye kumshukuru kiongozi wake, sio uchawa…. ni utamaduni.
Dah last seen inasoma mwaka jana. Alikua burudani sana.Teh teh 😃 😃 huyu mwamba alibadili ID nini ?