Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 230
- 793
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3.
Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Waziri Silaa pia amesema idadi ya watoa huduma wa miundombinu ya mawasiliano wamefikia 38 mwezi April 2025 ikilinganishwa na watoa huduma 27 mwezi Aprili, 2024 hii ni sawa na ongezeko la asilimia 40.7.
“Watoa huduma za ziada (Application Services and Value-Added Services) wamefikia 136 ikilinganishwa na watoa huduma 122 mwezi Aprili, 2024”