Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

Huyu rais ana kazi gani? Aliyetoa rushwa hàtajwi, aliyepewa akaikataa ni waziri Jerry Slaa. Nchi ngumu sana hii.
 
Walifikia hadi kubagein bei?, possibly alihitaji nyingi ya hizo wakachomoa ndiyo akaja kutafuta kiki
 
Nimepita mitandaoni baada ya kuwa nje ya mitandao kwa miezi kadhaa. Katika pitapita zangu nakutana na habari ya Slaa kukataa rushwa ya mil 300.
Hivi huyu jamaa ukimcheki hata kwa mbali anaweza kuchomoa hata mil 20 kweli ?
Ebu fikiria safari ya Dubai , bandari na ,Slaa na DP world?
 
Alitaka nyingi zaidi
Let us say, Thamani ya kituo ni Tsh 800 ml+ Ardhi, lakini je ni kweli Unaweza Risk Tsh 300ml kama rushwa Kwa kituo 1 tu Cha mafuta?

Haya Cha pili,Kwa Slaa, umeletewa Rushwa umekataa je hatua gani uliochukua Kwa watoa rushwa ? Umeenda Takukuru? Au huyu Slaa anatafuta Publicity/ populism,

Walio soma Cuba hawawezi kumuamini huyu Slaa, Kutuoa/kusawishi , Rushwa ni kosa ningemuamini Slaa angetamka hadharani wahusika na kuwapeleka Takukuru,nje ya hapo ni Publicity inatafutwa
 
Kutomba = kuomba
 
Kuwa makini ni Wanasiasa, they're hypocrisy, Huwezi ukaja na tuhuma nzito kama hizo bila kuchukua hatua,ni Bora wangekuwa wanakaa kimya,but remind you, huo ni mchezo ni mtaji wa kisiasa Kwamba wawo ni waadirifu hakuna jipya.
 
Imeisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…