Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

Inawezekana mnyororo wa thamani ulikuwa mrefu bwashee Mwekezaji katoa B 3 Waziri anapelekewa M 3 yaani 10%

Hata Wewe usingekubali Wahuni waondoke na 90%

Waziri Silaa anadai, amesikia mzigo ulishawekwa mezani ila yeye hajapokea mgao kwa sababu Biblia imekataza hayo mambo

Mlale Unono 😃😃
Umeandika uongo , Magufuli alihongwa Channel 10 kwa gharama ya meno ya tembo na Rostam Aziz
 
Slaa kastukia deal. Wahuni wamevuta mpunga mkubwa kuliko yeye, akaona huu ujinga sifanyi.

Wahuni watu wabaya, wanachokifanya, wanaenda na tajiri hadi kwa mtu anaetakiwa kupewa mzigo, mtu anabisha ndani, anakaribishwa anaulizia kama kiongozi yupo(huku akijua toka mwanzo kwamba hayupo) kisha anatoka nje.

Wakati anaingia ndani anakua kamuacha tajiri kwenye gari, ama maeneo ya jirani.

Akirudi anasema tayari nishampa mzigo wake. Yule jamaa anaamini kwa sababu si wameenda wote hadi nyumbani kwa mlengwa ama kiongozi na kaona ameingia ndani na mzigo ama akirudi anasema boss amesema atatuma kijana wake aje kuchukua, kumbe huyo kujana ni mwenzao.

Ndio maana waziri akasisitiza kwamba usiambiwe nimemuona waziri, akupeleke wewe mwenyewe uonane nae sio kupitia madalali. Waziri anataka mzigo uende kwake moja kwa moja kutokea kwa tajiri sio kupitia kwa mtu mwingine.
 
Kukataa rushwa kwa mwanachama wa ccm ni jambo jipya , ni maajabu na jambo lisiloaminika , Hata Dr Magufuli aliyejaribu kuwadanganya wanaccm wenzie kwamba hachukui rushwa , jambo hili lilimshinda .

Baada ya mdogo wa Rostam Aziz kukamatwa na shehena ya Meno ya Tembo na mamia ya bunduki za kivita zilizotumika kudungulia Tembo hao , Rostam Aziz aliingilia kati na kumhonga Magufuli na chama chake TV ya Channel 10 , hatimaye mdogo wake akaachiwa huru , ikimbukwe kwamba huyu Magufuli ndiye alisifiwa kwamba hachukui rushwa , Nani amesahau jambo hili ?

Sasa Kabla ya kutaka sifa tunaomba Jerry Silaa aweke ushahidi mezani ili tuthibitishe kwamba kakataa rushwa ndogo ya tsh mil 300 .

Labda kwa Wageni au labda na wale wasahaulifu ni kwamba , huyu Jerry silaa anayejinadi leo kukataa rushwa , ndio muasisi wa uporaji wa Masufuria yenye chakula ya Mama lishe alipokuwa Meya wa Ilala , natumai hakuna aliyesahau dhuluma ile , Hivi hata kwa akili ya kuvukia barabara , aliyepora masufulia ya ubwabwa ndondo wa masikini , anawezaje kukataa rushwa ya matajiri ya mil 300 ?
 
Pamoja na kwamba rushwa ni changamoto kubwa katika siasa zetu, Jerry anastahili pongezi nyingi kwa kupambana kwa maneno na vitendo. Amesema hadharani kwamba alipelekewa rushwa akakataa na amewaachisha watumishi kazi.
Mbona hajaenda kushitaki takukuru maana ushahidi anao? Ogopa matapeli. Huyo kapewa rushwa ndogo akaikataa.
 
HUYU WAZIRI KASEMA UKWELI
BABA YAKE NI MCHAGGA WA MACHAME NIMEFANYA NAYE KAZI AKIWA RUBANI NA MAMA
YAKE ALIKUWA AFISA WA NGAZI YA JUU WA JESHI LA POLISI.SASA FIKIRIA RUBANI WA SIKU NYINGI HALAFU MCHAGA. WAZIRI KASEMA UKWELI.
Zamani kulikuwa hakuna hela, uliza waziri akiyestaafu mwaka 92 aliondoka na sh?
 
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.

Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.

Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.

I wish you a Merry Christmas [emoji3]

======

Dar es Salaam

“Nimekataa Rushwa ya Tsh. Milioni 300”- Waziri wa Ardhi Mhe . Jerry Silaa

Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Jerry Silaa, ametangaza kusitisha matumizi ya kituo cha mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni, mkoani Dar es Salaam, kutokana na kituo hicho kujengwa bila kufuata utaratibu wa Wizara hiyo.

Mhe. Silaa amesema hayo alipotembelea eneo hilo, kilipojengwa kituo hicho, ambapo amebainisha kuwa, kuna watu walimfuata wakitaka kumpa rushwa ya Tsh. Mil. 300/= ambazo amedai amezikataa huku akibainisha kuwa ukichukua rushwa kila kitu utaona kipo sahihi.

Waziri huyo pia amewaagiza Wakuu wa Idara wa Ardhi na Mipango Miji nchi nzima kufanya uhakiki wa vituo vya mafuta vilivyo kwenye maeneo yao, kwa kuangalia matumizi yake pamoja na mchakato uliotumika kupatikana kwa viwanja hivyo
View attachment 2851260
Dr Mpango njoo huku kuna ujumbe wako Baba. Wahi kabla haujapoa.
 
Jerry Slaa akikataa milioni 300 nakula ndala. Hana ubavu huo mwongo mkubwa.
 
Slaa kastukia deal. Wahuni wamevuta mpunga mkubwa kuliko yeye, akaona huu ujinga sifanyi.

Wahuni watu wabaya, wanachokifanya, wanaenda na tajiri hadi kwa mtu anaetakiwa kupewa mzigo, mtu anabisha ndani, anakaribishwa anaulizia kama kiongozi yupo(huku akijua toka mwanzo kwamba hayupo) kisha anatoka nje.

Wakati anaingia ndani anakua kamuacha tajiri kwenye gari, ama maeneo ya jirani.

Akirudi anasema tayari nishampa mzigo wake. Yule jamaa anaamini kwa sababu si wameenda wote hadi nyumbani kwa mlengwa ama kiongozi na kaona ameingia ndani na mzigo ama akirudi anasema boss amesema atatuma kijana wake aje kuchukua, kumbe huyo kujana ni mwenzao.

Ndio maana waziri akasisitiza kwamba usiambiwe nimemuona waziri, akupeleke wewe mwenyewe uonane nae sio kupitia madalali. Waziri anataka mzigo uende kwake moja kwa moja kutokea kwa tajiri sio kupitia kwa mtu mwingine.
Hahahaha hata mimi hiki ndicho ambacho nimekiona hapa. Waziri kapelekewa fungu la 10 bila maelekezo af wahuni wamemeza 90%!!! Kaona haiwezekani kabisa mgao huo mdogo sana na hawezi chukua ila ingekuwa 700M asingeiacha kudadadeq
 
Mhe. Silaa amesema hayo alipotembelea eneo hilo, kilipojengwa kituo hicho, ambapo amebainisha kuwa, kuna watu walimfuata wakitaka kumpa rushwa ya Tsh. Mil. 300/= ambazo amedai amezikataa huku akibainisha kuwa ukichukua rushwa kila kitu utaona kipo sahihi.
Anatambua kuwa kuna PCCB au nao siyo sehemu ya serikali anayoitumikia
  1. Tibaijuka alipata kusema hela ya mboga anayo
  2. Lukuvi aliwahi kusema wamemuandalia rushwa
  3. Huyu naye anasema mil 300
Je PCCB ni useless au ipo kwa ajili ya nani?
 
Back
Top Bottom