Waziri kaambiwa na Rais ajitafakari, yeye na IGP hawauelewi msamiati huu?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia Waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
 
Hata kama wakielewa msamiati sidhani wako tayari kuwajibika. Utamaduni na kawaida za nchi hii ni vigumu mtu kuamua kuwajibika kwa makosa ya walio chini yake. Katika historia ya Tanganyika/Tanzania huru kuna exceptions chache za uwajibikaji wa ku step down. Tunatakiwa kubadilika. Mauaji ni moja ya makosa makubwa kufanywa. Kosa la mauaji linatosha kabisa mtu kujipima na kuamua kuondoka. Inakuwa heshima kubwa kwa aliyeamua kuondoka na pia heshima kwa taasisi au idara yake
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

FB_IMG_1644039316577.jpg
 
Yani wapo kimya tu wanasikilizia. Wanasubiri utenguzi?
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Yaan kwa kiswahili fasaha kujitafakari ni kujipima kama una uwezo wa kuendelea na kazi uliyonayo.Unaweza kuachia ngazi au kubadilisha mwenendo wako ukaongeza bidii.Lakin naona wabongo wengi wamekalili kuachia tu ngazi.Nafikiri tusiwe na wivu na roho mbaya kwa wenzetu waliopo kwenye nafasi za kazi.Yaan ukifanya utafiti humu wengi hawawezi kumuombea mtu aendelee na nafasi yake na ajirekebishe.Watataka aachie ngazi wafurahi.Ndio tulivyo wabongo wengi.
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Wanaelewa sana ila sasa sema hakuna mwenye uwezo wa kujiuzuru maana wengi wao wapo kwa maslahi yao binafsi.
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Hayo ni maneno tu ya kuwafanya wananchi ili wajue serikari ipo pamoja nao ila hakuna lolote maana tafakari ni mangapi yamepita kama hayo na hakuna ufuatiliaji?
 
Back
Top Bottom