Waziri kaambiwa na Rais ajitafakari, yeye na IGP hawauelewi msamiati huu?

Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Wamepigwa Risasi kina LISSU,AKWILINA mbona Hawakujitafakari

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Waziri Mkuu wa Uingereza itakuwa anatokea Afrika maana kakomaa hataki kujiuzulu
Japo kakomaa, ila ninadhani bado ana imani kwamba uongozi ni majukumu na siyo ulaji hivyo basi akishindwa aseme ameshindwa na atatoka. Toka nipate akili nadhani baada ya Bi Margaret, hakuna PM wa UK kadumu zaidi ya miaka mitatu madarakani.
 
Tony Blair?

Yupo Tonny Blair na Godon Brown
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Wameelewa Sana ila utekelezaji wa kuacha kitumbua hivihivi ndo Kuna changamoto
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Nitaona Maza yuko serious siku akitangaza kuundwa Kamati kuhusu shambulio la Lissu.
 
Huko ni ku-Shift Majukumu kama anaona vipi kwanini asimwondoe yeye ?
 
Kuanzia Jumatatu Utasikia Mapya, Yaani Wamekaa Kimya Kama Hakuna Lolote
 
Back
Top Bottom