Waziri kaambiwa na Rais ajitafakari, yeye na IGP hawauelewi msamiati huu?

Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Masauni yupo too gentle namuona kama hafai kupewa wizara ngumu kama mambo ya ndani. Yupo diplomatic ni mpole.
 
You can not solve a Problem using the same mind that created it..

Rais naye ajitafakari kwa kuendelea kuwakumbatia hao anaowataka wajitafakari..
 
Tupo afrika mkuu tena tz sio marekani. Yatapita kama yanavyopita mengine
Acheni jmn upotoshaji... Kazakhstan rais kaoma kujuiuzulizu, UK Waziri mkuu licha ya kuwa na kashfa za kukiuka mahsarti ya serikali ya vikwazo vya corona lkn hatak kujiuzulu... mbona mnawatukuza sana hawa watu
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Wanajuana hao, wakiwa faraghani wanatucheka tu
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Wizara Mambo ya ndani inastahili kushikwa na waziri mkongwe na mwenye uzoefu kama Mh. Lukuvi ama mwanajeshi yeyote mstaafu wa JWTZ wenye sifa za kuweza kufanya shughuli za kisiasa.
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Madaraka matamu ndugu yangu.
 
Sasa mama anataka wajitafakari vipi na wakati anayo mamlaka ya kuwatoa?
 
Y
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.

Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Rais mwenyewe ajitafakari, asitake kumuonea waziri. Waziri ndie kaua watu? Ok, polisi iko chini ya waziri Masauni, lakini polisi pamoja na Masauni wote wako chini ya rais, hivyo na awajibike
 
Nyinyi akina Nani mnataka muachiwe nchi yenu?
Akina Nani wawaachie nchi yenu , kwanini waliichukua?
Sisi ni watanzania wazareeendo na hao tunao waambia watuwachie nchi yetu ni mamluki majizi
 
Back
Top Bottom