Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.
Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Nchi zilizoendelea uongozi ni utumishi kwa watu Africa Uongozi ni kutumikiwaUlaya uongozi ni majukumu mazito, Afrika uongozi ni ulaji mzito.
Yeye yuko bize kuwawinda watu wa Twitter.Yusuph Masauni
Yani wapo kimya tu wanasikilizia. Wanasubiri utenguzi?Hata kama wakielewa msamiati sidhani wako tayari kuwajibika. Utamaduni na kawaida za nchi hii ni vigumu mtu kuamua kuwajibika kwa makosa ya walio chini yake. Katika historia ya Tanganyika/Tanzania huru kuna exceptions chache za uwajibikaji wa ku step down. Tunatakiwa kubadilika. Mauaji ni moja ya makosa makubwa kufanywa. Kosa la mauaji linatosha kabisa mtu kujipima na kuamua kuondoka. Inakuwa heshima kubwa kwa aliyeamua kuondoka na pia heshima kwa taasisi au idara yake
Mahakama ndo ijitafakari mama amefanya alicho paswa kufanya kupeleka tuhuma mbele ya chombo cha haki, na hili ni zuri kupima uhuru wamahakamaNa Mama nae ajitafakari kwa kesi ya Mbowe.
Afadhali PM kaunda tume. Polisi wangelindana.Yaani kifo cha mfanya biashara wa madini kilichosababishwa na polisi na kifo cha afisa wa polisi ni kama wamekufa paka tu na wala si binadamu.
Yaan kwa kiswahili fasaha kujitafakari ni kujipima kama una uwezo wa kuendelea na kazi uliyonayo.Unaweza kuachia ngazi au kubadilisha mwenendo wako ukaongeza bidii.Lakin naona wabongo wengi wamekalili kuachia tu ngazi.Nafikiri tusiwe na wivu na roho mbaya kwa wenzetu waliopo kwenye nafasi za kazi.Yaan ukifanya utafiti humu wengi hawawezi kumuombea mtu aendelee na nafasi yake na ajirekebishe.Watataka aachie ngazi wafurahi.Ndio tulivyo wabongo wengi.Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.
Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Wanaelewa sana ila sasa sema hakuna mwenye uwezo wa kujiuzuru maana wengi wao wapo kwa maslahi yao binafsi.Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.
Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Watuwachie nchi yetuUongozi wote tu unafaa ujitafakari.
Hayo ni maneno tu ya kuwafanya wananchi ili wajue serikari ipo pamoja nao ila hakuna lolote maana tafakari ni mangapi yamepita kama hayo na hakuna ufuatiliaji?Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.
Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
Mikono yao itakuwa imejaa uchafu mwingi sanaTupo afrika mkuu tena tz sio marekani. Yatapita kama yanavyopita mengine