The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu.
Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje ya nchi kwa kushirikiana nasi"
Waziri Palamagamba Mwaluko Kabudi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, (World Press Freedom Day 2025) yaliyofanyika jijini Arusha leo Aprili 29, 2025 kwenye Hoteli ya Gran Melia