UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kuna jamaa yangu alinidokezea kuwa walishachukua usa toka enzi za mkwere!So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa yangu alinidokezea kuwa walishachukua usa toka enzi za mkwere!So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Tafiti za taasisi zinazohusika na nishati zimeonyesha nishati ya solar na upepo ndiyo ya gharama nafuu kuliko zote. Endelea kushangilia uongo wa mataga.Kalemani is very right.
Hakuna chanzo cha umeme cha bei rahisi kama cha maji Duniani. Hakuna.
Mhongo ni mganga njaa tu.
Na Dodoma, Mpwapwa Uranium imejaa...So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Yakiisha isha muda wake, gharama za kuyahifadhi umezifikiria?
Hatari zinazotokana na ajali kama ile ya chenrbil, umeziwazia?
Maji yanayotumika kupozea vinu umeyapigia hesabu?
Utaalamu wa kuendesha miradi hiyo gharama zake umezifikiria?
Hata hivyo sina hakika na orodha hii ya Kalemani, kwa nini gesi iwe ghali kiasi hicho?
Solar na Upepo huwezi kuvitegemea kama vyanzo vya msingi wa uzalishaji wa umeme, kwa hiyo gharama yake hapo siyo halisia.
Wachache sana watakuelewa mkuu. Manake naona wengi ni wale wakusikia tu na kukubali bila kufanya analysis.Kuna shida ya uelewa hapa Prof yupo sahihi kabisa kwa short sighted people hawataliona analoliimaanisha Prof. It might look cheap what about investment cost, environmental cost, and break even point utaifikia lini kwa miradi ya mabwaya yanayohitaji big capital. Kwa watanzania wengi wataangalia figure iliyowekwa hapo. kweli waTZ wanahitaji waelimike. Hii inanikumbusha ukame uliotekea hadi Mtera, kihansi na kidatu wakazima baadhi generator zao. Envinmental factors ni hatari if we are not careful. Huku kwenye Bonde la Rufiji kunaendelea nini bila kusahau ufugaji ambao kwa sasa wapo ifakara, mahenge na bonde la Rufiji lenyewe. Kuna multiple things ziangaliwe kwa undani. Kwa hilo kuna kitu kinaitwa reliability ya umeme wa maji upo mashakani that is why mataifa yaliyoendelea wanatazama vyanzo mbadala sio wajinga.
Gharama za ujezi wa vinu vyake na risk ya uvujaji wa mionzi yake ambayo ina madhara makubwa kwa mazingira na viumbe.Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Tulipofikia, unaweza kuwapa mtihani mmoja wahitimu wa darasa la saba na maprofesa na madokta na wahitimu wa la darasa la saba wakafaulu mtihani huo kuliko hao wengine.Prof Muhongo yupo Bungeni maana siku kadhaa nyuma nilimsikia kwamba umeme wa gesi ndio wa gharama nafuu na wa uhakika ukilinganisha na huu wa kizamani wa maji.
Unataka na sisi yatupate ya ChernobylSo kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Unataka na sisi yatupate ya Chernobyl
Hiyo analysis iko wapi mbona haiweki tuone ili tulinganishe? Muhongo atawadanganya nyinyi wavivu na msiojua kuwa usomi ni kuprove empirically sio suala la kusadikisha watu.Wachache sana watakuelewa mkuu. Manake naona wengi ni wale wakusikia tu na kukubali bila kufanya analysis.
Ukweli ni kama ulivyosema hapo; umeme wa maji siyo wa uhakika kwenye "digital economy". Na hiyo ndo point kubwa ya Prof Muhongo. Mabadiliko ya Tabia nchi na matatizo mengine ya kimazingira pamoja na sensitivity ya "social ecological systems", kutegemea maji kama chanzo kikuu cha umeme ni ujinga.
Sh. 36 na sh. 65 ipi kubwa?So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Nyuklia unaipataje.?Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Hana akili huyoMadini ya uranium ya nyuklia hayachimbwi ardhini? au yenyewe hugemwa hewani?
Mkuu umeme wa maji athari zake bado ni ndogo ukilinganisha na vyanzo vingine na hata hizo athari zake tunaweza kupambana nazo tukaziovercome hata kwa nusu yake kwa hata kampeni za kupanda miti.Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Dr Muhongo hajaongopa amesema ukweli kuwa itachukua mda mrefu, kama miaka 10 mpaka 15 ili kurudisha return kama umeme utauzwa kwa TSH 36.00 per unity toka mwanzo, kama alivyosema waziri.Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.
Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi
Asema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote
Alizitaja gharama za kuzalisha umeme kwa unit kwa shilingi za kitanzania kwa kila chanzo ni kama ifuatavyo:
- Maji ni shilingi 36 kwa unit moja
- Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja
- Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja
- Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja
- Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja
- Gas shilingi 147 kwa unit moja
- Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja
Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.
Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi
Asema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote
Alizitaja gharama za kuzalisha umeme kwa unit kwa shilingi za kitanzania kwa kila chanzo ni kama ifuatavyo:
- Maji ni shilingi 36 kwa unit moja
- Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja
- Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja
- Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja
- Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja
- Gas shilingi 147 kwa unit moja
- Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja
hujanielewa sizungumzii kuhusu huo mchanganuo nazungumzia kwa ujumla jinsi wataalamu wanaweza kujenga hoja za msingi na zikaleta ushawishi kwa wanasiasa na tija kwa taifa.Sawa basi
Tuweke mchanganuo wako wa gharama
Tutofautishe na ya waziri
Ova
From my experince in Europe. For example, during a windy day, electricity prizes goes to negative. Upepo unapokuwa mwingi bei ya umeme inakuwa negative japo hali hii haitokei kila siku au kwa muda mrefu.Aliye kudanganya hivyo nani , kuna kijarida chochote kinachosema hivyo