mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Bei ikishuka huo mkopo utalipwa vipi?Una uhakika kwamba mkopo tuliochukua kwa ajili ya stieglers ni wa masharti nafuu?
Waziri anatakiwa atueleze baada ya stieglers kukamilika gharama ya unit ya umeme itashuka kiasi gani kulinganisha na sasa hivi.