johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sifa za kijanja baki nazo hapo ufipa.Hopeless kabisa!
Mwendokasi yenyewe inawashinda, hiyo ndio mtaiweza?Sifa za kijanja baki nazo hapo ufipa.
Hahahaaaa...... Bwashee umeumia sana!Hopeless kabisa!
Ulisikia wapi bwashee?Nilisikia SA na Ethiopia kama tayari wanazo vile!
Hata kupaka rangi tu makao makuu hapo ufipa mmeshindwa.Mwendokasi yenyewe inawashinda, hiyo ndio mtaiweza?
Acha uchawi!Amesahau kusema kuwa ndo itakuwa treni ya kwanza duniani kukatikiwa umeme ikiwa njiani.
Sifa za kijinga wakati watu bado wanakufa kwa kukosa huduma za afya huku wengine waki-share maji na mifugo.Hahahaaaa...... Bwashee umeumia sana!
Mambo mazuri mengi yanakuja.
Walichoelezea kuwa mabehewa na kichwa cha hiyo treni itakayo kuja itakuwa na uwezo wa kutunza umeme (power saver) kwa muda wa nusi saa hadi lisaa limoja.Amesahau kusema kuwa ndo itakuwa treni ya kwanza duniani kukatikiwa umeme ikiwa njiani.
Huku raia wake kila siku wanakimbia nchi yao.Ethiopia-Djibouti electric railway line opens
Ethiopia and Djibouti have launched the first fully electrified cross-border railway line in Africa.
It links Ethiopia's capital, Addis Ababa, to the Red Sea port of Djibouti - a stretch of more than 750km (466 miles).
Travelling at 120km/h, the new service cuts the journey time down from three days by road to about 12 hours.
The $3.4bn (£2.7bn) project was built with the help of funding from a Chinese bank and will have Chinese staff.
Ethiopia-Djibouti electric railway line opens
A Chinese-built electric train service from Ethiopia's capital, Addis Ababa, to the Red Sea port in Djibouti opens with a test run for passengers.www.bbc.com
cc Copy