mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mataga wakipewa ubwabwa ni kusambaza ujinga nchi mzima.