Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Hivi South Africa ipo Uraya eee?Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!