msweety
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 667
- 1,556
Kweli warundi Wana shida . Unaona anachotufanyia basha wako? Au hujui Kama nae sio mtanzania?Wewe huna akili..kwanza sio Mtanzania..Warundi mna shida sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli warundi Wana shida . Unaona anachotufanyia basha wako? Au hujui Kama nae sio mtanzania?Wewe huna akili..kwanza sio Mtanzania..Warundi mna shida sana..
SA hawana?Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Pamoja na hayo ukweli unabakia kama ulivyo,kuwa Kalemani kasema uongo mchana kweupe.Huku raia wake kila siku wanakimbia nchi yao.
Vipaumbele vibovu kama vya Meko.
hivi watu wajinga kama hawa mnapoteza muda kuwajibu kweli.Mbona hayo majina umeweka we we ? Tuonesha yalisia ya majina ya nchii
South Africa wanatumia treni za umeme kabla Mandela hajazaliwa.Nilisikia SA na Ethiopia kama tayari wanazo vile!
Pole saana mwanaufipa, kamujibu mwambahivi watu wajinga kama hawa mnapoteza muda kuwajibu kweli.
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Sema nchi ya Kwanza east Africa sio Africa , mjinga mmoja wewe , Egypt , Morocco , South Africa wanazo kitambo kabla hata hujasikia neno treni inayotumia Umeme .Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee awamu ya kuropoka tu,[emoji870] tenawWaziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo mawaziri wa serikali ya Magufuli safari zao ni Chato-Dar-Dom hawatembei nje ya nchi; hawajui mambo ya nchi zingine.
Tunisia ipo bara gani?Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Africa hii hii yenye Ethiopia, South Africa, Morocco, Egypt, na Algeria?Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.