Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
SA hawana?
 
SA wana aina mbili za treni za umeme ipo ya mwendo wa kawaida ndio wanatumia miji mingi na ipo hiyo gautren ambayo ipo faster na ruote zake ni airport mpaka jhb twn na Pretoria huko hii hata nauli ipo tofauti na lile lingine wanaita iyege hata hivyo hili lina ustaarabu mno safi na salama kuliko lile lingine ingawaje yote ni ya umeme...
 
Huku raia wake kila siku wanakimbia nchi yao.

Vipaumbele vibovu kama vya Meko.
Pamoja na hayo ukweli unabakia kama ulivyo,kuwa Kalemani kasema uongo mchana kweupe.
Amesahau mkuu kila siku anatwambia kwamba msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Ethiopia-Djibouti electric railway line opens​

Published5 October 2016
Share
new Addis Ababa to Djibouti railway system
IMAGE COPYRIGHTAFP
Ethiopia and Djibouti have launched the first fully electrified cross-border railway line in Africa.
It links Ethiopia's capital, Addis Ababa, to the Red Sea port of Djibouti - a stretch of more than 750km (466 miles).
Travelling at 120km/h, the new service cuts the journey time down from three days by road to about 12 hours.
The $3.4bn (£2.7bn) project was built with the help of funding from a Chinese bank and will have Chinese staff.
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Sema nchi ya Kwanza east Africa sio Africa , mjinga mmoja wewe , Egypt , Morocco , South Africa wanazo kitambo kabla hata hujasikia neno treni inayotumia Umeme .
 
Hawa viongozi wa Tz huwa wanaongeaongea tu kila linalowajia kichwani.

Dr Abbas naye leo kalisha watu tango pori kwamba ndiyo train itaongoza kwa high speed Africa.
 
Huyo mpuuzi Kalemani mjinga mmoja Djibouti Tu wanahayo majongoo tangia 2016
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee awamu ya kuropoka tu,[emoji870] tenaw
 
Na Umeme wenu huo WA magumashi mgao WA kipuuzi kila siku mamaee , mtalala maporini tu
 
Pesa ya jumla mchina na mturuki kujenga treni mnapata Ila pesa ya kujenga visima Singida hamna si ndio ? , Watu wanashare maji machafu na punda
 
Tatizo mawaziri wa serikali ya Magufuli safari zao ni Chato-Dar-Dom hawatembei nje ya nchi; hawajui mambo ya nchi zingine.

..Kalemani ni msomi na anajua kuwa Tz haitakuwa ya kwanza kutumia treni za umeme.

..siku hizi viongozi hawaogopi kudanganya, wanajua hakuna consequences kwa viongozi wa ccm na serikali kusema uongo.
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Tunisia ipo bara gani?
 
Africa hii hii yenye Ethiopia, South Africa, Morocco, Egypt, na Algeria?
 
Back
Top Bottom