Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Ndio maana tunashangaa anashindwaje hata ku Google kabla ya kutoa taarifa hadharani? Na taarifa ambayo haina faida sana kwetu.

Amandla...
Na wewe ukijishughulisha kidogo tu utajua tofauti ya treni yetu ya umeme na hizo mnazozitajataja!
 
Tanesco umeme huu watautoa wapi ambao haukatikikatiki kama tunaoutumia sasa?
 
Tuangalie pia network ya treni ya Umeme ya Morocco.
Nadhani hatuwezi kuwafikia. Wako maili nyingi sana kuliko sisi.

Hatuwezi kusema sisi ni Wa kwanza. No
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
,Hawa vilaza wapenda misifa ni ajabu sana, wakati watu tunahangaika kupata angalau mlo mmoja kwa siku, wao wanahangaika kuwa wa kwanza kutumia treni ya umeme, kwanini tusiwe wa kwanza kuwa na madarasa na dawati za kutosha kwenye shule zetu na wakwanza kuondoa umaskini uliokithiri
 
Sifa za kijinga wakati watu bado wanakufa kwa kukosa huduma za afya huku wengine waki-share maji na mifugo.

Mnakimbilia kutafuta sifa huku wananchi wanateseka.
Wacha iishe na ujiwekee nadhiri usipande.
 
Ya kwanza Africa? Mmh
Huyo waziri angetembelea nchi za Morocco, South Africa, Ethiopia, Algeria & Misri akaone maajabu, tena za kisasa kabisa na zipo tele sio moja, tena zipo kitambo na kitambo
 
Sifa za kijinga wakati watu bado wanakufa kwa kukosa huduma za afya huku wengine waki-share maji na mifugo.

Mnakimbilia kutafuta sifa huku wananchi wanateseka.
Kwani ni wapi huko ambako wananchi wake hawafi kwa corona na maji yao hawashei na nyau au dogi zao? Tunachojua ni kwamba hakuna po pote duniani ambako jengo la makao makuu ya chama kikuu cha upinzani linafanana au linapitwa na kibanda cha mifugo!
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Duh 70MW kwa treni? Au miki sijaelewa.
 
Kwa umeme UPI.athari zaumeme kukatika sio tu haitatembea ikitokea mlijazana humo sijui kitatokea nn.Mimi cpandi hata iwaje
 
Back
Top Bottom