Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Hivi South Africa ipo Uraya eee?
 
Ndugu Salary Slip, siku hizi unalipwaje mshara wako? Au unafanya kazi kwa mazoea.
 
Kuelewa wateuzi wa Yesu inabidi utolewe akili zote ubaki kopo,
 
Sifa za kijinga wakati watu bado wanakufa kwa kukosa huduma za afya huku wengine waki-share maji na mifugo.

Mnakimbilia kutafuta sifa huku wananchi wanateseka.
Wakati Amstrong anaenda mwezini, US hakukuwa na ma homeless?
 
Dar to Moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…